KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Ndugu wanawake hasa mlioolewa nawaomba mtumie busara kutatua tatizo la kupungua nguvu za kiume za wapendwa wenu. Maana hamwezi kujua nini kimewapata wapendwa wenu mpaka washindwe kuimudu kazi waliyoitiwa kwenye ndoa. Wanawake wengine huanza kwa masimango, malalamiko na kejeli pale wanapoona wapendwa wao wameacha kufanction bila kuuliza kilichowasibu wapendwa wao. Mara nyingine ni ugonjwa unaweza kusababisha hali ya kuto nanii itokee hivyo hata wanaume wenyewe hushindwa kujua nini chanzo na mara nyingine hukosa ujasiri wa kuongea kwa wenza wao kwa sababu tendo la kutomlizisha mke ni very embarrassing. Mugonjwa wa kisukari ni vigumu kuugundua kuwa mme ameshaupata na unaweza kusababisha nguvu zipungue sana. Hivyo wanawake tumieni ustaarabu kutatua tatizo hilo na wenza wenu badala kuwabeza na kuwatukana
Kwa leo ni nimezungumzia, siku nyingine wanaume
Kwa leo ni nimezungumzia, siku nyingine wanaume