Wanawake tumieni busara kutatua tatizo la kupungua nguvu za wenzi wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake tumieni busara kutatua tatizo la kupungua nguvu za wenzi wenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIDUNDULIMA, Dec 10, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ndugu wanawake hasa mlioolewa nawaomba mtumie busara kutatua tatizo la kupungua nguvu za kiume za wapendwa wenu. Maana hamwezi kujua nini kimewapata wapendwa wenu mpaka washindwe kuimudu kazi waliyoitiwa kwenye ndoa. Wanawake wengine huanza kwa masimango, malalamiko na kejeli pale wanapoona wapendwa wao wameacha kufanction bila kuuliza kilichowasibu wapendwa wao. Mara nyingine ni ugonjwa unaweza kusababisha hali ya kuto nanii itokee hivyo hata wanaume wenyewe hushindwa kujua nini chanzo na mara nyingine hukosa ujasiri wa kuongea kwa wenza wao kwa sababu tendo la kutomlizisha mke ni very embarrassing. Mugonjwa wa kisukari ni vigumu kuugundua kuwa mme ameshaupata na unaweza kusababisha nguvu zipungue sana. Hivyo wanawake tumieni ustaarabu kutatua tatizo hilo na wenza wenu badala kuwabeza na kuwatukana

  Kwa leo ni nimezungumzia, siku nyingine wanaume
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Word to the wise. Stank you
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  heheeee umeongea kwa upole au ushakuwa victim mwenzetu
  Pole sana
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Sijawa victim ila kuna mshikaji juzi amenisimlia jinsi alivyozodolewa na mke wake. Mme alijitahidi kujitetea wapi. Mwanamke ilifika mahali akaanza kutembea na wanaume wengine bila hata kumwogopa mmewe. Mme alijitahidi kwenda kwa madaktari ikaja kundulika kuwa ana kisukari. Mke kuja kupata taarifa ya chanzo cha tatizo alijuta kwanini alimsakama mmewe namna ile na kuanza kumfanyia vituko wakati tatizo lilompata mmewe hakujitakia na lilihitaji faraja na ukaribu wa mke ili kulitatua
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli inatia huruma
  Tena ukifikiria hapo nyuma mmeshaapa kwa shida na raha mtakuwa pamoja
  Ila ikitokea shida baasi kiapo kinavunjika
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa in case you dont know.... tatizo hilo limeshakua kubwa sana katika jamii yetu kwa nyakati zetu hizi. Sijui Wizara ya Afya kama wamesha note janga hili?? That's a time bomb... and it's ticking!!!!
   
 7. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  assume hilo tatizo lingekuwa limempata mwanamke.???m sure mwanaume pia angetafuta nyumba ndogo tena bila kujiuliza mara mbili...
  ukisoma posti za humu utajua jinsi hili tatizo lingekuwa handled na mainfii wa humu...
  we sema tuvumiliane na tukumbuke viapo vyetu wakati wa matatizo....wote(wanaume kwa wanawake)...
   
 8. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  ndio maana nimesema kuwa wanaume tutawazungumzia wakati mwingine
   
Loading...