Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Wee pita tuNakuomba PM
Wee pita tuNakuomba PM
Ha ha ha wakaka watamu watamuKweli.mtabiri wameshasema ni necha.
Mie kuflirt siachi labda macho yakizeeka niache kuona wakaka watamu watamu
Mmmh hapo itabidi ni undergo several surgeriesHa ha ha wakaka watamu watamu
Nakuombea macho yaone hadi ukiwa na miaka 100, sema Amina.
One night stand huwa tamu sanaaYa wewe kucheat au kucheat na mimi?
Kama ya wewe kucheat haya
Ila kama ya wewe na mimi hapana,
Huwa napiga one night stand
Hahaaa umenikumbusha mbali na haya manenoKaacheni kahonert kangu mi sha kazoea kanapenda porojo sana
All in all siku zinakwenda
Hornet wangu baaas imetosha kisura wangu
Mwanamke ananyege za aina mbili ya kwanza ya kutaka mashine na ya pili ya kutaka kutongozwa tu yaani atongozwe tu hata asipokubali ila atongozwe tu...naona hii ya pili inakusumbua....ingawa ni kipimo kwamba hujiaminiKwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Hamna kitu nachukia kama kutongozwaMwanamke ananyege za aina mbili ya kwanza ya kutaka mashine na ya pili ya kutaka kutongozwa tu yaani atongozwe tu hata asipokubali ila atongozwe tu...naona hii ya pili inakusumbua....ingawa ni kipimo kwamba hujiamini
Unajua maana ya ku flirt...au kujibebisha sasa uta flirt uache kutongozwa?hahaha halafu eti nachukia kutongozwa khaaaA embu ona aibu kusema hivoHamna kitu nachukia kama kutongozwa
Yaani kwanza sikumbuki lini niliruhusu hiyo nafasi
Kutongozana ni utoto.
Kwangu mambo huende straight siyo kutongozana.
Pole mwenye macho ya rohoni umefeli kuona.
Hahaaaa hahahaaaaaaUnajua maana ya ku flirt...au kujibebisha sasa uta flirt uache kutongozwa?hahaha halafu eti nachukia kutongozwa khaaaA embu ona aibu kusema hivo

Unakuta mwanamke ameolewa na anapewa mahitaji yote na muwe wake lakini hatulii kwenye ndoa yake, anaanza kurukaruka na wanaume tofautitofauti ambao hawamsaidii chochote zaidi ya kumpotezea tu muda na kumuharibia ndoa yake.
Kuna mwanamke nilijuana nae kwenye moja ya mitandao ya kijamii yapata kama wiki mbili tena yeye ndie ambae amekua akinisumbua inbox kutaka chatting za mara kwa mara.Nimemueleza kwamba nina mke lakini chakushangaza bado anaendelea kusumbua na sms zake nakulazimisha urafiki ambao binafsi siuhitaji sababu naheshimu ndoa yake na sitaki anisababishie matatizo.
Ushauri wangu kwa wanawake, msikimbilie kuolewa wakati nafsi zenu hazipo tayari kufanya hivyo.Hakikisha unaolewa na mtu ambae umemridhia ili kesho na keshokutwa utulie na ndoa yako na uache mambo ya kuhangaika na wanaume wengine ambao hakuna chochote cha maana watakachokusaidia zaidi ya kukutumia tu na kukutupa.
Huu ni ushauri wa bure.
Humu si wasafi woote, sie ni waaminifu katika ndoa zetu kasoro wewe tu ha ha itabidi tukuleftishe humu utatuharibu weweHahaaaa watu humu wanajifanya wasaaaafi wakati tunajaa nao pm na lodge kila kukicha
Wao wake zao hawaumii eeeh
wazee wa necha role model wao Ibrahimhamn necha wala nin wanajiendekeza tu wanataka kuchepuka wakufanye ni mazoea kabisa
mleta mada asirudie tenawazee wa necha role model wao Ibrahim
Eli nawe unasemaga unaflirt na unakapenda kamchezo, kwani mkeo hamfanyiani jokes?Unaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.
Kweli.mtabiri wameshasema ni necha.
Mie kuflirt siachi labda macho yakizeeka niache kuona wakaka watamu watamu



