Wanawake tulieni na ndoa zenu

Wanawake tulieni na ndoa zenu

Mumeo anajua? Anajisikiaje kama anajua kuwa mkewe sio faithful kwa mume na watoto?
Hivi seriously unauliza mtu anajisikiaje?

Mimi nawezaje kujua feeling ya mtu!
Najua juu ya mimi ninavyojisikia you may ask about it.
 
Kuna jamaa aliniambia kwa average mwanamke aliyepo kwenye ndoa miaka mitano ameshawahi kecheat mara mbili(na wanaume wawili tofauti). Yaani hiyo ni average, wake zetu ndio wamekuwa unfaithful kuliko hata wale walioko kwenye urafiki wa kawaida(ambao hawajaolewa)
 
Hahaaaa watu humu wanajifanya wasaaaafi wakati tunajaa nao pm na lodge kila kukicha

Wao wake zao hawaumii eeeh

Mmmh

Wala sio hivyo my dear.

Niashaona wewe una mentality ya kushindana na wanaume!Utapotea dada!

Wanaume ni cheaters in nature,na hawakatai,walao ajitahidi acheat responsibly!

Wewe una nature ya kulipa kila akifanyacho mwanaume.It is okay,you are correct.Tatizo ni long term outcomes kwako na watoto wako,thats the problem.

Kumbuka kuna dubwana very judgemental linaitwa JAMII,hili ndio the number killer!Can you handle them?Goodluck!
 
Nime experience kitu kama hiyo. Mke wa mtu, hana shida yoyote, mumewe ana uwezo tu mzuri lakin sasa kutwa kuhangaika na viben 10.

Yaan anakuja ana force mahusiano na ww licha ya kwamba umemwambia kuwa huwezi na una mke.
Nimechunguza wengi nikagundua huwa wanaolewa na watu ambao hawawapendi, hawakuwapenda. Either waliolewa sababu ya utajiri, waliolewa sababu ya presha kutoka kwa wazazi, au waliolewa sababu ya uwezo wa mume.

Baadae wanakuja kugundua wanakosa ile raha halisi ya moyon inayotoka kwenye mapenz ya kweli ndipo wanapoanza kuhangaika. Kuruka ruka.

Mwanamke kama hajaridhia ndoa, mwanaume usioe, mbelen atakusumbua.
Wadada kama hamko tayari kuolewa, au humpendi huyo mtu ni bora ukasema mapema ili mbelen isije mletea matatizo.
 
Mmmh

Wala sio hivyo my dear.

Niashaona wewe una mentality ya kushindana na wanaume!Utapotea dada!

Wanaume ni cheaters in nature,na hawakatai,walao ajitahidi acheat responsibly!

Wewe una nature ya kulipa kila akifanyacho mwanaume.It is okay,you are correct.Tatizo ni long term outcomes kwako na watoto wako,thats the problem.

Kumbuka kuna dubwana very judgemental linaitwa JAMII,hili ndio the number killer!Can you handle them?Goodluck!
Haya mwenye macho ya rohoni
Unaeona kupitia ID.
 
Mkuu Hawa viumbe ni kama samaki kwenye maji huwa wana hangaika huku na huko..!
 
Nilishashikwa wala siyo mara moja

So i dont give a shit,
Mie nikimuelewa mtu hata simuachi.

I live once na usitake maisha yako yafanane na kila mtu.

Na hata Mr anaijua Id yangu na ana access ya kusoma hapa.
Teh teh, huyo Mr akapimwe mkojo. Atakuwa ameshikwa mathikio na pua
 
Kaandike kitabu naona una mineno miiingi

Itakulipa kuliko kuniandikia mie

Hapana ndugu yangu!

Mbona sijakuandikia vibaya?

Nishakuona wewe mshari.Wala sijaandika kwa nia mbaya or anything to hurt u whatsoever!Ni discussion tu.

Wala usifikirie huko unakoenda!
 
Hahahaa ila nimegundua wanaume mkiona mwanamke anacheat mna hasira kinoma.
Good day
Hahaha hornet nimekushtukia , ww unacheza na akili za watu tu hapa. Uwachokonoe, to be honestly kuna uwezekano hayo uliyoandika hapa hata hufanyi.
Mind games tu
 
Hahaha hornet nimekushtukia , ww unacheza na akili za watu tu hapa. Uwachokonoe, to be honestly kuna uwezekano hayo uliyoandika hapa hata hufanyi.
Mind games tu
Hahahaa nafanya bwana,

Kuwa faithful ngumu mno.
Ila mpunguze mapovu
 
Hahahaa ila nimegundua wanaume mkiona mwanamke anacheat mna hasira kinoma.
Good day
No, so long sio my wife wangu siwezi kuwa na hasira. Ila kweli mwanaume ukijua mkeo hawezi kusema "hapana", you just ask yourself, was this this the right choice! Hakuna mwanaume anapenda kuona mkewe kit**bwa, hata wanawake hawafurahi kuona waume zao hawafungi zipu.

Ila to each his own.
 
shhhhhh necha mama necha, si unajua hiyo ni necha yetu wanaume ila sio nyie wanawake.
Mi simooooo
hamn necha wala nin wanajiendekeza tu wanataka kuchepuka wakufanye ni mazoea kabisa
 
No, so long sio my wife wangu siwezi kuwa na hasira. Ila kweli mwanaume ukijua mkeo hawezi kusema "hapana", you just ask yourself, was this this the right choice! Hakuna mwanaume anapenda kuona mkewe kit**bwa, hata wanawake hawafurahi kuona waume zao hawafungi zipu.

Ila to each his own.
Yaah sure kila mtu atapima level ya uvumilivu wake.
 
Back
Top Bottom