Wanawake tulieni na ndoa zenu

Wanawake tulieni na ndoa zenu

Imemikumbusha shost yangu kilichomtokea. Mume wake alikwenda Ujerumani safari ya kizazi. Ni dada baada tu ya kumshusha hubby Airport alitupigia simu mamemba wa club ili Ijumaa tukayarudi.

Tulikuwa na dereva ambae vyulihakikisha hapigi pombe alitushusha wote kila mtu nyumbani kwake

Tumefika kwa shost tunamkuta mumewe yuko barazani anamsubiri, pombe zote zilikwisha alikuwa sober

Kumbe mumewe alihitajika haraka kazini na safari kufupishwa ghafla.
Safari ya kikazi
 
Nimependa sana mawazo yako Hornet ,ni very challenging hasa kwa jamii yetu hii iliyoathirika na maisha ya kuigiza zaidi
Hivi mnaishi ndani hamuelewani
Watoto wanaobserve kuanzia umri mdogo mpaka wanakua!

Ni kitu gani wanajifunza?
Unakuta mama anavumilia vipigo na kejeli kila siku mtoto wa kiume nae akikua anakuwa na tabia hizo hizo anaamini ni kawaida kumdhalilisha mwanamke!

Si bora mtu awe single.

Tuachane na hayo tuje kwenye swala la kucheat,
Mwanaume anacheat bila woga anamuweka mkewe katika mazingira gani?
Ni kwa sababu tumeumbwa wepesi wa kusamehe?

Mie nikimuelewa mtu nampa chance.
 
Ni kawaida tu hawatakuwa wa kwanza wala wa pili

Kwani mzazi mmoja akifa wanakuwaje?

Binafsi sijinyimi raha ya dunia kwa ajili ya mtu.
Moto nilishauona toka nimezaliwa na kwa sasa ni muendelezo tu
Wala sijali saana.

Mtu akiamua kuondoka aende tu akiamua kubaki abakie.
I live once no need to pretend

Mzazi kufa ni tofauti na wazazi kutengana.

Tena mzazi akifa,wanaoachwa bond inakua stronger zaidi.

Wazazi waliotengana ni tofauti kabisa mkuu.Hapa tunaongelea Psychology!

Halafu kutokana na majibu yako inaonesha kuna past majeraha unayo.Effect hiyo!

Halafu swali dogo tu...Umeolewa?Na ndoa yako ina function?Itakua bado,au ulishatoka!

Ingia,jaribu unachosema halafu ushikwe halafu uone Hiroshima itakayotokea!Halafu haishii hapo,it will haunt you forever.Marriages kill or make people forever!When I hear neno "marriage",I sober up quick!Whether unataka au hutaki,you have to behave,tena kwa mwanamke ni mandatory!

Hii ndio reality mama,ukiponea shukuru mungu sana!
 
Hivi mnaishi ndani hamuelewani
Watoto wanaobserve kuanzia umri mdogo mpaka wanakua!

Ni kitu gani wanajifunza?
Unakuta mama anavumilia vipigo na kejeli kila siku mtoto wa kiume nae akikua anakuwa na tabia hizo hizo anaamini ni kawaida kumdhalilisha mwanamke!

Si bora mtu awe single.

Tuachane na hayo tuje kwenye swala la kucheat,
Mwanaume anacheat bila woga anamuweka mkewe katika mazingira gani?
Ni kwa sababu tumeumbwa wepesi wa kusamehe?

Mie nikimuelewa mtu nampa chance.
Kazi kweli kweli
 
KIUKWELI WAKE ZA WATU WA SKU NI SHDA TUPU, WARAHS HAO, MTU KAOLEWA LEO, LAKN BADO HABADILIK, ANASHOBOKEA WANAUME WENGNE, HALAFU WENG WAO HAWAPEWI CHOCHOTE HUKO NJE ZAID YA NGONO, KWA HYO ISHU HAPO CYO PESA.
 
Mzazi kufa ni tofauti na wazazi kutengana.

Tena mzazi akifa,wanaoachwa bond inakua stronger zaidi.

Wazazi waliotengana ni tofauti kabisa mkuu.Hapa tunaongelea Psychology!

Halafu kutokana na majibu yako inaonesha kuna past majeraha unayo.Effect hiyo!

Halafu swali dogo tu...Umeolewa?Na ndoa yako ina function?Itakua bado,au ulishatoka!

Ingia,jaribu unachosema halafu ushikwe halafu uone Hiroshima itakayotokea!Halafu haishii hapo,it will haunt you forever.Marriages kill or make people forever!When I hear neno "marriage",I sober up quick!Whether unataka au hutaki,you have to behave,tena kwa mwanamke ni mandatory!

Hii ndio reality mama,ukiponea shukuru mungu sana!
Nilishashikwa wala siyo mara moja

So i dont give a shit,
Mie nikimuelewa mtu hata simuachi.

I live once na usitake maisha yako yafanane na kila mtu.

Na hata Mr anaijua Id yangu na ana access ya kusoma hapa.
 
Hivi mnaishi ndani hamuelewani
Watoto wanaobserve kuanzia umri mdogo mpaka wanakua!

Ni kitu gani wanajifunza?
Unakuta mama anavumilia vipigo na kejeli kila siku mtoto wa kiume nae akikua anakuwa na tabia hizo hizo anaamini ni kawaida kumdhalilisha mwanamke!

Si bora mtu awe single.

Tuachane na hayo tuje kwenye swala la kucheat,
Mwanaume anacheat bila woga anamuweka mkewe katika mazingira gani?
Ni kwa sababu tumeumbwa wepesi wa kusamehe?

Mie nikimuelewa mtu nampa chance.

You have to check yourself why all this fracas on you from him?

Wanaume ku-cheat sio leo au jana,ni toka enzi za BC,jifunze how to handle that kutoka kwa wanadamu waliokuwahi kuishi!

Najua ni frustrations.

Usishindane nae,u will loose!Victims watakua wewe na watoto.Does it worth it?

Haya leave him,effects za post-marriage breakage pambana nazo for the rest of your life.Huge baggage aisee!
 
Weee kaka kwani lazima niishi kwa principle zako?

Naona umenishupalia as if mie mkeo.
 
Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote

Kurukaruka ruksa.

Mie kuflirt siachi ng'oo
Unaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.
 
Nilishashikwa wala siyo mara moja

So i dont give a shit,
Mie nikimuelewa mtu hata simuachi.

I live once na usitake maisha yako yafanane na kila mtu.

Na hata Mr anaijua Id yangu na ana access ya kusoma hapa.

Mpaka amekushika kabisa?Tena mara nyingi?Aiseeeee!

Atakua hajakushika aisee,Im sure of that!Wanaume wengi wakimshika mwanamke ana-cheat then ndoa ndio inakua dead for good,atahama au hata kama atakuwepo,atakua hayupo kabisa!

Hizi frustrations zako zote hapa ni outcomes za dysfunctional marriage.

Wewe umeenda too far,na effect utaipata wewe hapo na watoto wako mwenyewe.

Nachoona,baba anacheat,dawa sio wewe kucheat.Huyo mwanaume unaedhani hacheat utampata wapi ndugu yangu?Nowhere!
 
Unaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.
Kila mtu na ladha yake bwana

Jokes za John siyo kama jokes za Elli

Hivyo tunatest vitu tofauti tofauti.
 
Ya wewe kucheat au kucheat na mimi?

Kama ya wewe kucheat haya

Ila kama ya wewe na mimi hapana,
Huwa napiga one night stand
Mumeo anajua? Anajisikiaje kama anajua kuwa mkewe sio faithful kwa mume na watoto?
 
Mpaka amekushika kabisa?Tena mara nyingi?Aiseeeee!

Atakua hajakushika aisee,Im sure of that!Wanaume wengi wakimshika mwanamke ana-cheat then ndoa ndio inakua dead for good,atahama au hata kama atakuwepo,atakua hayupo kabisa!

Hizi frustrations zako zote hapa ni outcomes za dysfunctional marriage.

Wewe umeenda too far,na effect utaipata wewe hapo na watoto wako mwenyewe.

Nachoona,baba anacheat,dawa sio wewe kucheat.Huyo mwanaume unaedhani hacheat utampata wapi ndugu yangu?Nowhere!
Kaandike kitabu naona una mineno miiingi

Itakulipa kuliko kuniandikia mie
 
Back
Top Bottom