Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,712
Reaction score
11,611
Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika.

Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho, mnadanganyana hakuna usawa kati yenu na sisi haitokuja kutokea mpaka kiama.

Kama unahisi bado haujamaliza ujana unakubali ndoa ya nini? Unajua kabisa huyu mwanaume haumpendi unakubali kuolewa nae kwa nini? Badilikeni haraka kama mtu haumpendi usikubali kuolewa nae, wanaume wa sasa hawana moyo wa kuvumilia kama baba zetu.

Yote kwa yote tumrudie muumba wetu.
 
Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.

Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.

Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.

So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
 
Watangazaji, wakina Mama wanaoalikwa na motivational speakers wa kwenye tv na redio ni kirusi kingine Cha ndoa.

Ukimuona mkeo anafuatilia hivyo vipindi jua ndoa yenu iko mashakani au soon itaingia migogoro.
 
Ila ni mbaya sana mwanamke kumsaliti mume wako jamani, Wengine mpaka wanaingiza wanaume ndani ya nyumba sasa kwanini mtu asikuue,

Kwanini unakubali kutumiwa na kutuma meseji na mwanaume asiye mumeo unajua kabisa sio sahihi?

Kwanini usiuwawe,

Wanawake acheni kufuatilia mambo ya kwenye TV yanawaharibu sana nyie
 
Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.

Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.

Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.

So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Soma Sheria Ya Tanzania Mbona Lipo Wazi.

Tofautisha Maadili Ya Kiimani Na Sheria Utakuwa Huru
 
Anasema "Mwanamke tafuta pesa yako" unajua wanawake wengi hawajui masuala ya pesa hata kutafuta, wanavutiwa na Furaha inayoletwa na pesa.

Inshort, Wanawake wengi hawajui nini wanataka, Mwanamke siyo wa kumsikiliza maneno yake. Mara nyingi wanamaanisha opposite wanachosema, " Nataka mwanaume anipende na kuniheshimu", utashangaa anadate a badboy anamtreat vibaya and she is attached bro!

Ndio maana mambo ya kuona yanahitaji mwanaume uwe na experienced na wanawake, na usioe chini ya miaka 35.
 
Wanaume wanaisha wallah.....mnaogopa maumivu badala ya kuyakabili.

Unaua mwanamke ulizaliwa nae tumbo moma kusema huwezi kuishi mkitengana nae!? Mapacha tu wanatengana sembuse wewe na mkeo.

Na hapa sio suala la mke kuwa mkaidi, ni mwanaume kutafuta mke unayemmudu bila hivyo mtazidi kuoa wake wasio wenu kisha muue kila kukicha kwa kutokuamini mnachokiona
 
Back
Top Bottom