Wanawake tuishi vizuri na waume zetu maana wanakufa haraka sana

lesleswng

Member
May 3, 2023
15
77
Nawashauri wanawake wenzangu tuishi vizuri sana na waume zetu ,tuwapende tuwajali pia tuwe na masikilizano ndan ya nyumba sambamba na kufanya maendeleo na kuwa na mchango chanya katika ayo maendeleo yatakayopatikana ndani ya ndoa ili akitokea ametangulia basi usipate tabu katika hii dunia maan wao wanakufa haraka sana na gap inakuwa kubwa unakuta anakufa leo wewe unakaa miaka 20 ndo unakuja kufa . Kwahiyo tujipange vyema
 
_20240302_131000.JPG
 
Wanaume wengi ni wavuta sigara kuliko wanawake, walevi wengi ni wanaume kisukari. Pressure ni wanaume ndo wengi wanaugua kuliko wanawake lazima wawahi kwenda zao.
magojwa yasiyo yakuambukizwa yanatatupeleka wote tu mzee usijifariji Tena Genetically wanawake wapo kwenye risk kubwa ya kupata Cancer kuliko wanaume pia kama huamini Nenda pale Ocean Road ukaone wagojwa wengi wa Cancer ni kinani apo kwenye kisukari si wanawake wala wanaume wote tu Tuna mtindo mbovu wa maisha mtu anaweza akawa hanywi bia ila kila siku anabukigia mi soda na mivyakula ya Wanga wew unategemea uko mbeleni hawezi kupata kisukari type 2 na kwa kuongeza tu wanawake wengi wapo kwenye Hatari kubwa ya kuongezeka uzito kuliko wanaume
 
Back
Top Bottom