Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

istockphoto-172359814-612x612.jpg
 
Kuna mwanamke mwenzenu kapigana mapanga na mumewe kisa wivu, mwisho wa mpambano mwanamke kafanikiwa kumuuwa mumewe ila na yeye yupo hoi hospitali huku akiwa chini ya ulinzi. Sasa nashangaa nyie hadi mfundishwe kupigana.
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
Ujifunze usijifunze utajua wewe. Ila ukileta upuuzi LAZIMA uchapike tu na karate zako.
 
Muda wako tu sehemu za kujifunza zipo kibao
Nalog off
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
Wazo zuri... Kupambana na kujihami !!!
Kwanza fanya mazoezi,jogging halafu mieleka na kungFu!!
 
Kuna mwanamke/mke kamtia panga mme wake huko musoma

Ova
 
Sister yangu alianza kujifunza martial arts kitambo sana akajiimarisha katika mtindo wa Goju Ryu, aisee sikuwahi kuonewa shule kabisa. Mi nakomaa na kikapu ye anakomaa na martial arts. Saivi amekua Mtu mzima ila anawatrain watoto wake eti
 
Ni vizuri kama hukuwa ukionewa, ila NI makosa makubwa kuwaonea wengine wasiojua ngumi kwa kisingizio cha dada yako kujua ngumi, ni makosa pia hata huyo dada yako kuanzisha ugomvi kwa makusudi na watu wasiojua ngumi, kisa yeye anajua kupigana. Na mkorofi siku zote ndiye anayepigwa, regardless anajua ngumi kiasi gani. Hivyo tuheshimu wengine wasiojua ngumi, ili nao watuheshimu sisi.
 
Kupigana ni hulka ya mtu

binafsi sipendi ugomvi, nikimkosea mtu najisikia hatia

kuna binti mmoja alinikosea nikapata hasira nikamtia vitasa vya kutosha,baadae hasira zilivyoisha nilijutia kwanini nilimpiga!! Japo alistahili kupigwa
 
imekaa poa sana hii

tuwe kama nyachiro masatu.
 
Hiyo tu kutoka kwenye familia ya NKYA inatosha. Huhitaji mafunzo zaidi. Nadhani unenielewa Anna Nkya
 
Mbona sisi wanaume wa Rombo tunapigwa na wake zetu na hatujaomba tufundishwe Kupigana
 
We nkya ni mmachame halisia kabxaa...kama umewashwa kuzipiga nenda kajisajili..kuna uhaba wa wanawake wacheza ndondii
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
CC Mkulungwa01
 
Nasikia Kama ukipigana nao eti wahi kushika m.p.mb wanakuwa hawana uhanja??
 
Back
Top Bottom