Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

Hiyo ilikuwa inatumika zamani, tena kwa mijanaume milevi ya pombe, sasa mtu sio mlevi eti ujiroge umshike pmb? Yaani ni tiketi yako ya kifo hiyo, mfano mimi kuna demu aliwahi kunibana pmbu ila nilichomfanya mpaka leo akisikia jina langu anatetemeka, yaani meno yake 2 aliyaacha pale pale[emoji23][emoji23][emoji23] daaah nacheka kama mazuri ila najutia mno kwa nilichomfanyia, alikuwa anajifanya kababe mno
 
Mnajihami mpaka huduma za msingi kutoa mnaona mnaonewa,ndio maana wanawake wenye akili za Gender equality/usawa kijinsia ndoa zao Zina matatizo sana.
 
Nyie mbona hamuhitaji kujifunza mambo magumu hivyo,nyie MNA silaha yenu Kali sana ambayo hakuna mwanaume anaweza shindana nayo ni vile tu mnashindwa kuitumia vizuri.
 
Sasa unafikiri na yeye ni lofa akuruhusu ushike pmbu? Na pia si kwa kila mtu, unaweza kushika na ngumi za kichwa ukala mpaka utaachia mwenyewe, hutoambiwa uache yaani![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.
Endelea kuwaingiza chaka badae uje kuokota maiti kabisa. Unabishana na mpango wa Mungu? Ww ndio unajua kuliko aliekuumba?
 
Kupigwa ni mahaba kwa mwanamke, mmeo akikuchapa vibao msogelee aendelee kukuchapa ndio mapenzi hayo....tunawapiga kwa sababu tunawapenda...
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
Naona muvi zimeanza kuwaharibu! Hivi unaijua roba mbao wewe..? Ulishawahi kupigwa kichwa cha pua..? Bora mkaendelea kuangalia zile love stories acheni hizi tutawanyongorotoa.
 
ndio maana tumegundua style nyingine yakuwachapa huku tunawapa utamu na makofi kwenye makalio na ukiwa umeniudhi mchana unakula na vibao mashavuni vya maana huku unaambiwa ooooh babe its wonderfully, my honey unakula tena kibao halafu unasifiwa yaani babe kama ya mtoto vile......nyie wetu tu hamna ujanja ni timing tu....
 
Kupigwa ni mahaba kwa mwanamke, mmeo akikuchapa vibao msogelee aendelee kukuchapa ndio mapenzi hayo....tunawapiga kwa sababu tunawapenda...
Unakunywa bia kaka?👏👏👏
 
Hiyo ilikuwa inatumika zamani, tena kwa mijanaume milevi ya pombe, sasa mtu sio mlevi eti ujiroge umshike pmb? Yaani ni tiketi yako ya kifo hiyo, mfano mimi kuna demu aliwahi kunibana pmbu ila nilichomfanya mpaka leo akisikia jina langu anatetemeka, yaani meno yake 2 aliyaacha pale pale[emoji23][emoji23][emoji23] daaah nacheka kama mazuri ila najutia mno kwa nilichomfanyia, alikuwa anajifanya kababe mno
Kwamba ulimtoa meno mawili bila ganzi mtoto wa watu!!!,Sasa huyo si ulishamharibia soko?.
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
kwanza mimi huwa nashangaa hivi wanapo sema wanapigana na mkeo unakuwa umekunja ngumu yaani unampiga kabisa ile ngumi kama unampiga mwanaume mwenzio au hua inakuwaje ?
 
Nyie mbona hamuhitaji kujifunza mambo magumu hivyo,nyie MNA silaha yenu Kali sana ambayo hakuna mwanaume anaweza shindana nayo ni vile tu mnashindwa kuitumia vizuri.
Silaha gani? Hebu weka wazi hapa.
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
nyie wanawake walaini mno, hata mjifunze kupigana bado ngumi zenu haziumi, ni kama za mtoto mchanga. Nyie walaini utazani hamna mifupa, yani kama puto.
 
Back
Top Bottom