Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

Ananilea Nkya
Anna Nkya
Upendo Nkya
Joseveret Nkya
Anastanzia Nkya
Naantombe Nkya
Mshana Nkya
Superbug Nkya

...huu ukoo una raha aisee.....
 
Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.

Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.

Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.

Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.

Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo

#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza

View attachment 1995886
Kabla sijatoa ushauri naomba aulizwe Wema Sepetu anasemaje kuhusu kipigo kwa mwanamke?
 
Dada ugomvi wa nini? Ukiona umekwazwa si unajiondokea zako tu. Eti. Haki sawa kwa kila kitu ni mbaya sana
Yaan kweli eti Mtu kama mimi nisimame na Mdada/Mmama eti tupigane kabisaa? Ni mbaya sana maana kila kitu tunaishi kwa asili na mipaka.
Labda kwa wanaume goigoi ndo mtaweza. Ila Nyanda kama Nyanda ni Ndoto kuipiga. But kuishi kwa misingi ya upendo na kuheshimiana ni vyema zaidi
 
Back
Top Bottom