Wanawake tuambiene ukweli...

Wanawake tuambiene ukweli...

mmh, haya bana, ngoja tuwe wapole tusije tukabishia nature lol
 
Binafsi huwa mkisema haki sawa kwa wote. M.Mungu ana makusudio yake kufanya vile alivyofanya. Mleta mada km hili ndilo unalolifanya kiukweli umefanikiwa. Tatizo ni kwamba watu wanataka kushindana ndani ya nyumba.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Naona mtoa mada umebase sana kwenye vitabu vya dini sio mbaya lakini hata bibilia inaleta mkanganyiko katika hayo uliyo nena. katika mithali 31:10-31 inatoa sifa za mke mwema. nikuvuja jasho kwa sana.mstari wa sita imeandikwa mwanamke mwema huangalia shamba akalinunua kwa mapato ya mikono yake, mstari wa nne imeandikwa afanana na merikebu za biashara huleta chakula chake kutoka mbali. kuzaa kwa uchungu plus kula kwa jasho. ukisoma hiyo kifungu yote utaona hamna tofauti katika uwajibikaji kati ya mwanaume na mwanamke ila wewe ongeza kuzaa kwa uchungu.mimi sishindani na mtu hapa duniani mwanaume wala mwanamke mwenzangu. usawa na haki kwa wote daima.ZAIDI TUPENDANE NDO AMANI YA DUNIA.
 
"HAKI SAWA" kwa wote ina maana pana sana. Kwa mfano ktk nyanja za elimu wote me na ke wawe na fursa sawa kupata elimu, uongozi, siasa, urithi n.k n.k. Mara nyingi ktk jamii hasa hizi zetu za kiafrika hakuna fursa sawa hasa ikipendelea zaidi me, utakuta mtt wa kike anaweza nyimwa shule au hata akienda shule basi ana majukumu mengi kuliko wa kiume baada ya masomo. Na hii imewafanya ke kuwa nyuma kitaaluma, ambayo imeawaathiri ktk masuala mengi muhimu km uongozi, uzalishaji mali n.k. Wanawake na watoto wa kike wapate fursa zote muhimu km wanaume, kusiwe na upendeleo wowote. Naamin mtoto wa kike akipata elimu mambo mengine yatanyooka tu. 2kianza mjadala wa Mungu cjui kamwumba me kwanza na ke baadae ili kumridhisha me, ha2tafk! Ni sehemu gani ktk maandiko matakatifu kuwa elimu itolewe kwa upendeleo kwa jinsia.
 
Aliyeandika bible ni mtu kama wewe lakini huyu mtu Ali claim anauwezo wa roho takatifu(who knows he may be like Osama bin laden ) we are just followers .Hitler aliwafanya watu wauliwe na oxygen chambers,watu wanaimplant mabomu wakiwa na imani wataenda mbinguni.Kama huyo mama lwakatare ni mchungaji lakini anakufanya usafishe pesa bank baada ya Muda anaita waandishi wa habari ananyumba ya kifahari.Na binadamu wanaubongo tofauti some are psychopath,serial killer,molesters,alcoholic.Sijawahi kusikia tanzania mtu anatibiwa kwa depression ,addiction .wanaume ni head of house hold period

hee Natalia sa mbona unaongea mingi mingi! hapo kwenye bold tu pangetosha!
eti mwaJ sa si ungemueditia mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Aliyeandika bible ni mtu kama wewe lakini huyu mtu Ali claim anauwezo wa roho takatifu(who knows he may be like Osama bin laden ) we are just followers .Hitler aliwafanya watu wauliwe na oxygen chambers,watu wanaimplant mabomu wakiwa na imani wataenda mbinguni.Kama huyo mama lwakatare ni mchungaji lakini anakufanya usafishe pesa bank baada ya Muda anaita waandishi wa habari ananyumba ya kifahari.Na binadamu wanaubongo tofauti some are psychopath,serial killer,molesters,alcoholic.Sijawahi kusikia tanzania mtu anatibiwa kwa depression ,addiction .wanaume ni head of house hold period

Yaani ni rahisi sana kuusoma ubongo ambao upo disorganized....hakuna mantiki, hakuna filosofia yoyote.
Mwisho, hakuna unachokijua....empty set!!!
 
Duh, kweli ww ni wa2 eyt in 1 head. Nin kumsasambua mwenzio hivyo?
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..

mimi ni mwanaume wa ukweli kwani natumia..
thanks kwa ushauri mnono kwa kina bishosti kila kitu..
 
Wewe unaongelea haki au majukumu? Kwa wale wasiofuata biblia wala Quran ? Ina maana wanawake wakubali kufuata wanaume Kama bendera inavyofuata upepo, no questions asked even when you know the man is wrong/ an idiot ?? Hell to the no.

Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..

shee leo kula 5 mamito umetishaaaaa waambie waambie,napenda mwanamke anayejitambua kama wewe!
 
Last edited by a moderator:
Kwa sentensi moja tu isiyo na maneno mengi unataka wanawake tufanyaje?

AANHAAA!! Vizuri sana mnatakiwa kuwa wanyenyekevu kwa Mwenye Enzi Mungu na kwa waume zenu pia.
maana mwanamke yeyote asiyemnyenyekea mume wake hata akaswali mara trilione 1,hatakwenda mbinguni
huwezi kumnyenyekea mungu usiyemwona wakati mume uliyepewa umnyenyekee duniani unamdharau Mungu ni jemedari wa majeshi ya mbinguni na duniani na jemedari yeyote anahitaji unyenyekevu toka kwa watumishi wake sasa wewe ukimdharau mumeo na yeye atakukataa sababu siku moja utamdharau na yeye kama ulivyomdharau mumeo.
Ndivyo maandiko yanavyosema.
 
mkurugenzi funguo ya mbinguni unayo wewe nini?
 
Aliyeandika bible ni mtu kama wewe lakini huyu mtu Ali claim anauwezo wa roho takatifu(who knows he may be like Osama bin laden ) we are just followers .Hitler aliwafanya watu wauliwe na oxygen chambers,watu wanaimplant mabomu wakiwa na imani wataenda mbinguni.Kama huyo mama lwakatare ni mchungaji lakini anakufanya usafishe pesa bank baada ya Muda anaita waandishi wa habari ananyumba ya kifahari.Na binadamu wanaubongo tofauti some are psychopath,serial killer,molesters,alcoholic.Sijawahi kusikia tanzania mtu anatibiwa kwa depression ,addiction .wanaume ni head of house hold period

Wewe inaonekana umeshibishwa sana na pepo la haki sawa ila angalia unaweza ukazeeka bila kupitia kitu kinachoitwa ndoa utaona wenzako wanaolewa kila siku wanazaa we ukasema umelogwa,TEna nakushauri kama unataka wanaume wa
haki sawa nenda huko marekani na kwa wazungu sabab ya mfumo jike lkni EA sahau,wenzako wapo makanisani sasa hivi
wanaombewa wapate mabwana wanawakumbuka wanaume wote wale waliowakataa mwanzo!!!
HAKI SAWA ni msamiati usioonekana hakuna kitu kama hicho duniani,na hakitakaa kuja kuwapo duniani,mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume hata siku moja na ndio maana hata mungu alituumba kwa nguvu tofauti chunga sana wenzako wa TAMWA hakuna hata mmoja mwenye mume wote wako mabachelor.
 
mkurugenzi funguo ya mbinguni unayo wewe nini?

Sasa wewe mkufuru mungu tu,kama unaona huwezi kuzidiwa na mwanaume sasa kuna haja gani ya wewe
kuolewa?? we soma ukimaliza kusoma kunywa pombe uwezavyo kalale hauna haja ya mwanaume mana si unataka kuwa nao sawa??Wenzako wako TAMWA wanashindwa kupata wanaume hadi leo wengi wao wanazeeka bila waume na inawaumiza sana hasa hasa wanapoukaribia uzee kuona wako peke yao hakuna wanayeweza kumtegemea wale wanaharakati wenzao washakufa wengine wanajizeekea huko kila mtu anapigania nafsi yake.we uko peke yako!!!
Mungu ameshasema nimemkabidhisha mwanamke kwa mwanaume awe ndio mlinzi na kiongozi wako,sasa ukishindwa kumsikiliza kiongozi wako aliyeko duniani utaweza kumsikiliza yule aliyeko mbinguni???kumbuka kisa cha nabii ibrahim na maskini lazaro na tajiri,tajiri alimwomba ibrhm ampe ruhusa aende duniani awaonye ndugu zake wasifanye uovu kutookana na adhabu kali anayoipata ibhm akamwambia ndugu zako wako na musa na manabii wasipowasikiliza wao basi hata akitoka mtu kaburini hawatomsikiliza,hivyo hivyo wanawake wako chini ya wanaume na mungu usipo mtii mumeo basi hata akaja malaika toka mbinguni hauta mwamini akikwambia mnyenyekee mumeo,utasema kila jambo hivyo moto ndiyo makazi yako wewe usiyemtii mumeo
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..

Umesahau kuwa sio dunia iliyobadilika
Bali ni viumbe wenyewe hao unaowatetea!
Unadhani ni mambo mangapi wamekiuka katika lile agizo lao la kuwapenda wake zao??

Ndugu,
Kwani haki sawa ni kumfanya mwenzio awe msaidizi wako?

Back
Top Bottom