Wanawake tuache kuzalilishana mitandaoni

najisikia vibaya sana kwa yanayoendelea
huwa natamani iishie jokes tu za hapa na pale lakini kufikia hukoo kuanikana hadi ulilala na nani na kalala stili hii

NAKIRI TANGU NAZIJUA SOCIAL MEDIA SIJAWAHI ONA WANAUME WANAFANYIANA HAYO ZAIDI NI WANAWAKE kuanzia kwenye blogs anaglia blogs zipo nyingi tu zinamilikiwa na wanaume lakini kwa nini wanawake weni ndo hutupiana matusi na mambo mazito
hali kadhalika instagram

Ila blog ya rahatupu mmiliki ni mwanamke 😀😀
 
Yani afu mi nlichukulia ki masihara tu nashangaa watu wanaanza kupolomosheaa ila kwelii wanawake sio siri tuna matatizo tena sio kidogoo kah........ivi mtu unijui ckujuiii et unaanza kunizushiaaa tukijuana si ndio hatariii......duh kweli mungu aturehem wanawake sisii

Heee uzi upi tena huo
Yaani ckuhiz napitwa!!
 
jf hii ni zaidi ya uijuavyo mtu anakuchekea kwenye thread na pm kumbe anakuchunguza mwisho wa siku anakuja kukutangaza hapa mimi kwa kweli sina namba ya mwanajf wa kike ninaechat nae hata wa kiume pia drama siwezi

Mmmhhh
Kweli watu wanatofautiana.

Mbona wengine tunafahamiana na watu wengi tu hapa na tunaheshiamiana?
Tukiwa humu kila mtu kivyake..

Mi naona hao hawajajitambua!
Coz ya jf ni ya jf na ya nje ni ya.nje!
Ukiona mtu anatoa ya nje anayaleta hapa ujue iko shida !!!

Ila kwa unafiki wanawake wanaongoza kwahyo usishangae bt uwe mwangalifu una deal na nani!
 
umeona eeeh atleast wanaume kidogo wanajitambua hawana mambo unafki itabidi nianze kudeal na wewe nipate experience am kidding lol
 
Hii thread nlikuwa wapi sijaiona!!!!!!

Naona watu wanajifanya mama theresa wakitukanwa wenzao wanashadadia wakitukanwa mashosti zao wanaleta umama theresa.
Sasa ni hivi jiheshimu uheshimiwe.
Nachamba,naingiza hela,naishi maisha mazuri na deals kibao nazipiga mtaani ukijifanya wa kishua mi wa kishua zaidi yako,ukijifanya wa vigodoro mie wa baikoko.
Bahati nzuri sasa nimewapita km 100000 kwa vyote(kasorro upuuzi wenu),ukileta ujuaji mi mjuagi zaidi yako na mbaya zaidi sitegemei kumanua kupewa hela.
SINA SHOGA WALA RAFIKI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII TUMEKUTANA UKUBWANI NISHANYOZA ZIVU ZAIDI YA MARA 100.
Halafu na wewe kidada unayeingiliana ugomvi huujui piga kimyaaaaaaaaa.
Kujidhalilisha WALIJIDHALILISHA WENYEWE KWA TAMAA ZAO ZA KIFALA KUPIGWA PICHA ZA UCHI NA KULETA MASHAUZI YA TANDALE na kuja jukwaani kututangazia bwana bwana bwana mwenyewe screpa kito.mbi tu na hajakuoa kakujaza mimba na ana mke na family je ungekuwa unalalwa na Lowassa.
masai dada waambie mashoga zako watoe ujinga na waache ushamba wajiheshimu waheshimiwe naona ilikuuma saaaaaaana mpaka ukaanzisha thread.
 
Last edited by a moderator:
na wewe masai dada acha unafikiiiiiiiii hui thread umeileta baada ya mi kuibuka na kuwavaa hao mbona walivyojitapa siku 3 sina habari hukuwaambia waache upuuuzi.
Na wewe vile mnafiki kama wanafiki wengine baada ya kuona bom limelipuka ndo unaanza tuanze kudhalilishana siku zote ulikuwa wapi.
Kitu hukujui kaa kimya piga kushoto.
Kwa wanaowajua/kuwafahanu hao watu wanakucheka tu maana ni sawasawa na kusafisha dampo.
Nlikuona tokea siku ile unafiki wako nikawapa mkaondoka kumbe ukaenda kufungua uzi ili upate credit au?
 
Last edited by a moderator:
Hii thread nlikuwa wapi sijaiona!!!!!!

Naona watu wanajifanya mama theresa wakitukanwa wenzao wanashadadia wakitukanwa mashosti zao wanaleta umama theresa.
Sasa ni hivi jiheshimu uheshimiwe.
Nachamba,naingiza hela,naishi maisha mazuri na deals kibao nazipiga mtaani ukijifanya wa kishua mi wa kishua zaidi yako,ukijifanya wa vigodoro mie wa baikoko.
Bahati nzuri sasa nimewapita km 100000 kwa vyote(kasorro upuuzi wenu),ukileta ujuaji mi mjuagi zaidi yako na mbaya zaidi sitegemei kumanua kupewa hela.
SINA SHOGA WALA RAFIKI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII TUMEKUTANA UKUBWANI NISHANYOZA ZIVU ZAIDI YA MARA 100.
Halafu na wewe kidada unayeingiliana ugomvi huujui piga kimyaaaaaaaaa.
Kujidhalilisha WALIJIDHALILISHA WENYEWE KWA TAMAA ZAO ZA KIFALA KUPIGWA PICHA ZA UCHI NA KULETA MASHAUZI YA TANDALE na kuja jukwaani kututangazia bwana bwana bwana mwenyewe screpa kito.mbi tu na hajakuoa kakujaza mimba na ana mke na family je ungekuwa unalalwa na Lowassa.
masai dada waambie mashoga zako watoe ujinga na waache ushamba wajiheshimu waheshimiwe naona ilikuuma saaaaaaana mpaka ukaanzisha thread.

Mi ndo nimetoka kifungoni aiseee! Bado nangaa sharubu humu baada ya kupigwa report abuse 500! Hahaaaaa!
 
Tunataka tupige hesabu ya umri wako zivu unanyoa baada ya muda gani? Ha ha ha (joking)
 
Ha ha kama nakuona ulivyokuwa unakodoa macho selo
 
Tunataka tupige hesabu ya umri wako zivu unanyoa baada ya muda gani? Ha ha ha (joking)

We acha si wajua zinakimbelembele badalaa hizo kila baada ya wiki zinajiotea.
Khaaaa
 
jf hii ni zaidi ya uijuavyo mtu anakuchekea kwenye thread na pm kumbe anakuchunguza mwisho wa siku anakuja kukutangaza hapa mimi kwa kweli sina namba ya mwanajf wa kike ninaechat nae hata wa kiume pia drama siwezi
Hapo ndo pabaya. Hapo hata wasiokuwemo watachanganywa humo humo. Binaadamu hatulingani kimtazamo na kifikra. Wabaya
Wapo na wazuri wapo pia. Shida ni kumtambua
 
Back
Top Bottom