Wanawake tuache kuzalilishana mitandaoni

tumboo ki ukweli kimi nachukulia hii sehem kama ya kuondolea stress lakini kwa jinsi hali ilivyo usidhubutu kujuana na mwanamke humu HALI NI TETE
mungu wangu WATU WANA CHUKI KALI SANA

Yani ujue mpaka saiv najiulza maswali mengi sanaa.....kweliii ss wanawake ni wadhaifu sanaa....ckujua kua jeiefu ina mambo makubwa ivii......yan mi nlikua nachukulia ki masihara kumbe wengne ni siriuz kiasi hikii........kwa mtindooo huu tutadharaulikaa kila sehem si wanawake tuna matatizoo jaman embuu tuacheee.....
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wanachambua sana wenzao
mimi namezea tu lakini HALI NI TETE HUMU
yaliomkuta BETI YALIKUA NA SURA KAMA HII YA KUAHAMBULIANA mpaka kifo chake

Achana nao. Soma threads na ku-Comment pale unapojisikia na yote yaishie hapa.

Niko hapa mwaka wa nne now ila mtu ninayefahamiana naye nje ya hapa ni mmoja tu na tena sijawahi kuonana naye zaidi ya ku-Chat naye WhatsApp kusalimiana siku moja moja basi.
 
Yani ujue mpaka saiv najiulza maswali mengi sanaa.....kweliii ss wanawake ni wadhaifu sanaa....ckujua kua jeiefu ina mambo makubwa ivii......yan mi nlikua nachukulia ki masihara kumbe wengne ni siriuz kiasi hikii........kwa mtindooo huu tutadharaulikaa kila sehem si wanawake tuna matatizoo jaman embuu tuacheee.....

tumboo namba iukaongee katika ule uzi
mimi wananishangaa kama MASAI KAINGIA DISCO NA RUNGU
 
Last edited by a moderator:
Achana nao. Soma threads na ku-Comment pale unapojisikia na yote yaishie hapa.

Niko hapa mwaka wa nne now ila mtu ninayefahamiana naye nje ya hapa ni mmoja tu na tena sijawahi kuonana naye zaidi ya ku-Chat naye WhatsApp kusalimiana siku moja moja basi.

hili ni la kuzingatia lakini kuna fursa za kibiashara je utaacha kukutana na mtu??
 
ahahaa hii sehem si salama kabisa naogopa sana jamani aisee
nimeshajua ni bora mwanaume umfate pm umueleze shida yajo hata kama huna ela ya p..d si mwanamke haki ya nani atakutangaza kila sehem ya nchi aisee sijui ni CHUKI au

Ila nanyie wadada mnanishangaza tabia zenu flan flan. Utakuta mkiwa kwenye public au kwenye magrupu mnajionyesha kupendana sana hadi inafika mnaitana majina kama "dia" "mpenzi" "honey" etc, lakin cha kushangaza mkiwa pembeni mnasemana vibaya ile mbaya. Kwa mfano kama wewe, am sor to say this, huwa unaonyesha upendo wa hali ya juu kwa wadada wenzako mkiwa public lakin hapa unasema huwapendi, you see the point? Hahaa masai dada una visa!
 
kutokana na kinachoendelea hapa aisee siraki kabisa na pia hapa ni public naonesha ukweli NAWAOGOPA WANAWAKE WENZANGU CHUKI ILIOKO NI KUBWA SANA ingekua gesi inazalisha umeme mkubwa sana

na hao unaowasema nimeshawafata na kuwaambia wache kuzalilishana
huu uzi ni general view
 
Tungekua wote mimi na wewe tunatumia real IDs ningekuwekea uhalisia na kukutajia majina ila kwa kuheshimu privacy naomba niuache mjadala uendelee.
 
Naona leo umeamua masai dada, warekebishe mi nadhani ni laana ya mungu ndo inawaandama ya pale bustanin edeni
 
kutokana na kinachoendelea hapa aisee siraki kabisa na pia hapa ni public naonesha ukweli NAWAOGOPA WANAWAKE WENZANGU CHUKI ILIOKO NI KUBWA SANA ingekua gesi inazalisha umeme mkubwa sana

na hao unaowasema nimeshawafata na kuwaambia wache kuzalilishana
huu uzi ni general view

Yani upoteze fursa muhimu kwaajili ya hawa wachache? Mi sijali....nikiona kuna sababu ya kufahamiana na mtu ntafahamiana nae tu akija hum kunisambaza kuwa khantwe ana miguu ka miwa ya mtibwa poa tu kwani mi nilijiumba kwamba nisikitike kuwa nilijiumba tofauti na masai dada?
 
Last edited by a moderator:
Tungekua wote mimi na wewe tunatumia real IDs ningekuwekea uhalisia na kukutajia majina ila kwa kuheshimu privacy naomba niuache mjadala uendelee.

ki ukwe
i kifo au vifo kama vya kina beti ni vingi sana kama mambo yenyewe ndo hivi yaani unaonesha chuki kabisa hivi huyu mtu ukikutana nae duniani si unaeza mpiga chuma
 
We katwe kuongea ni virahisi ya kikukuta utajuta kuna watu wana midomo michafu kama mabomba ya kupitishia maji machafu
 
Back
Top Bottom