Wanawake tuache kuzalilishana mitandaoni

Wanawake tuache kuzalilishana mitandaoni

Naona leo umeamua masai dada, warekebishe mi nadhani ni laana ya mungu ndo inawaandama ya pale bustanin edeni

inaumiza sana sipendi kumuanika mtu binafsi sipendi inaumiza naamini hapa kujenga urafiki ni rahisi
naamini wanaoanikana walikua marafiki awali jamani
 
inaumiza sana sipendi kumuanika mtu binafsi sipendi inaumiza naamini hapa kujenga urafiki ni rahisi
naamini wanaoanikana walikua marafiki awali jamani

kweli masai dada lazima usononeke sana pole lakin
 
ina maana lile dili letu lilikufa kutokana hupendi kufanya biashara na wadada humu mjengoni
kumbuka sio wote ambao wana tabia hizo wengine siye hatuko hivyo tuko kibiashara zaidi
hatunaga mambo ya kitoto hayo wanayo wengine wasiona mwonekano wa kibiashara
bestito kumbe ndo nimefahamu hapa ila its oky USIJALI

Matola kaka yangu muda mwingine mimi nasemaga sitaki kumjua mwanamke humu AM GLAD simjui hata mmoja si kwa biashara wala nini

maana atakuja kukuaibisha humu aje aseme nimekutana na masai dada ana bonge ya chogo SITAKI KABISA
nakiri nitafanya biashara na kusocialize na wanaume
wanawake sitaki
Kama wananijua basi wamenitafuta wenyewe bila mimi kujua
 
ki ukwe
i kifo au vifo kama vya kina beti ni vingi sana kama mambo yenyewe ndo hivi yaani unaonesha chuki kabisa hivi huyu mtu ukikutana nae duniani si unaeza mpiga chuma

Sijakuelewa hapa hebu nipe kaufafanuzi kidogo kwa post yako yote sentensi kwa sentensi.
 
Sijakuelewa hapa hebu nipe kaufafanuzi kidogo kwa post yako yote sentensi kwa sentensi.

ooh sor nilikua natetemeka

nasema hivi kwa jinsi wadao walivyosema kifo cha beti kilianzia mtandaoni
sasa kwa jinsi mtu navyoonesha chuki ya wazi wazi juu yako je AKIKUONA WAZIWAZI SI ANAEZA AKAKUMALIZA?????

maana hapa ni vile hamuonani ugomvi huo ji mkali je kama mkaonana live si kuna mtu atapelekwa moja kwa moja Kwa si God
naogopa sana
 
Hapa sasa nimekuelewa. So ugomvi kati ya lala 1 na gfsonwin waweza kuwa mfano mmojawapo?
 
hapana sio huo
ugomvi mmoja wapo ni wa WEMA na KAJALA

Ila inaonyesha wadada mna maneno sana ndo maana hata mnapokua kwenye groups mnazinguaga sana. Mnatakaga muwe ndo last say hata kama group ni la wengi. Anyway nimetoka kwenye mada but just wanted to say that wadada punguzeni u-much know. Hicho ndo kinawaponza.
 
sawa tutapunguza asnte kwa ushauri

nadhani na wengine wataona hapa
 
Hata mimi nashangaa sana hawa wanawake kila ukifungua mtandao unaona mwingine anaomba mwanaume akafanye mambo,mbaya zaidi mwingine hutoa mpaka picha yake ,na nyeti zake ukweli inasikitisha sana sana
 
Achana nao. Soma threads na ku-Comment pale unapojisikia na yote yaishie hapa.

Niko hapa mwaka wa nne now ila mtu ninayefahamiana naye nje ya hapa ni mmoja tu na tena sijawahi kuonana naye zaidi ya ku-Chat naye WhatsApp kusalimiana siku moja moja basi.

Mambo?
 
jf hii ni zaidi ya uijuavyo mtu anakuchekea kwenye thread na pm kumbe anakuchunguza mwisho wa siku anakuja kukutangaza hapa mimi kwa kweli sina namba ya mwanajf wa kike ninaechat nae hata wa kiume pia drama siwezi
 
Back
Top Bottom