Wanawake tuache kuzalilishana mitandaoni

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,798
Reaction score
16,812
Jana wakati nikiwa IG kuna mtu alisema mnatusingizia tu wanaume lakini wanawake mlioko wengi ndo mnaongoza kuvujisha picha zenu na za wezenu mitandaoni
sikuamini....

ila nashawishika kuamini kwa kinachondela hapa jf
si vyema na nina pinga kabisa si vizuri kutukanana na kuanika privacy ya mtu hapa,kama unamfaham mtu hapa kumuanika hakutakuongezea hata thumni

najiuliza HAYA MAMBO MBONA WANAUME HAWAYAFANYI? na nina uhakika wengi wa wananume wanajuana kuliko sisi wanawake lakini sisi kujuana juu juuu tu ndo watu wanatupiana maneno makali jamani
najua wahusika mnaona hapa si wakati wa kutumia mitandao kuumizana kihisia na kutukanana,embu tuwaige wenzetu wanaume atleast hutukanana kwa hoja na si privacy zao

haya mnategemea lini muanze kuheshimika enyi wanawake?
KILA SIKU LAZIMA NYUZI NYINGI ZIMIMINIKE KUTUPONDA YAAA KWA SABABU TUNASTAHILI,,YAA NDIVYO TULIVYO kama tunayaanika wenyewe kwa nini wanaume wasiyaweke hapa eeh?

tuwaache watuwekee tu nyuzi hizo maana tunajifunua wenyewe na tusitegee heshima kutoka kwao
 
ikiwa wanaume wanatumia jf kupiga mihela na dili za biashara na michongo kibao
WANAWAKE WANAANIKANA NY....T ZAO NA JINSI WALIVYO HUKO URAIANI
inashngaza na kuhuzunisha
 
Nina dili la biashara nikumegee pande?

Back to topic wanawake ni vigumu sana kuwaelewa hasa kwenye maisha ni nini vipaumbele vyao, kila siku Shigongo anatajirika kupitia akili mgando za Wanawake (siyo wote)
 
Duu somo zuri kwa wanawake .mwenye macho kasoma mwenye akilii kaelewaa

najisikia vibaya sana kwa yanayoendelea
huwa natamani iishie jokes tu za hapa na pale lakini kufikia hukoo kuanikana hadi ulilala na nani na kalala stili hii

NAKIRI TANGU NAZIJUA SOCIAL MEDIA SIJAWAHI ONA WANAUME WANAFANYIANA HAYO ZAIDI NI WANAWAKE kuanzia kwenye blogs anaglia blogs zipo nyingi tu zinamilikiwa na wanaume lakini kwa nini wanawake weni ndo hutupiana matusi na mambo mazito
hali kadhalika instagram
 
Nina dili la biashara nikumegee pande?

Back to topic wanawake ni vigumu sana kuwaelewa hasa kwenye maisha ni nini vipaumbele vyao, kila siku Shigongo anatajirika kupitia akili mgando za Wanawake (siyo wote)

Matola kaka yangu muda mwingine mimi nasemaga sitaki kumjua mwanamke humu AM GLAD simjui hata mmoja si kwa biashara wala nini

maana atakuja kukuaibisha humu aje aseme nimekutana na masai dada ana bonge ya chogo SITAKI KABISA
nakiri nitafanya biashara na kusocialize na wanaume
wanawake sitaki
Kama wananijua basi wamenitafuta wenyewe bila mimi kujua
 
Last edited by a moderator:
najisikia vibaya sana kwa yanayoendelea
huwa natamani iishie jokes tu za hapa na pale lakini kufikia hukoo kuanikana hadi ulilala na nani na kalala stili hii

NAKIRI TANGU NAZIJUA SOCIAL MEDIA SIJAWAHI ONA WANAUME WANAFANYIANA HAYO ZAIDI NI WANAWAKE kuanzia kwenye blogs anaglia blogs zipo nyingi tu zinamilikiwa na wanaume lakini kwa nini wanawake weni ndo hutupiana matusi na mambo mazito
hali kadhalika instagram

Wengine wapo kibiashara hvyooo wanatangaza.
Wengine nadhani hatambui umuhimu wa miili yao hvyooo wanaona kuiacha wazi ni ishuu kumbe ulimbukeni mtuu.
Wengi ya wanawake km hao hawana hofu ya mwenyenzi mungu coz mwenye hofu ya mungu hawezi Fanya vitu vya kujipotosha .
WANAUME KM WANAUME TUNAJIHESHIMU NA KUHESHIMIANA HATUWEZI FANYA MAMBO KM HAYO.
 
Matola kaka yangu muda mwingine mimi nasemaga sitaki kumjua mwanamke humu AM GLAD simjui hata mmoja si kwa biashara wala nini

maana atakuja kukuaibisha humu aje aseme nimekutana na masai dada ana bonge ya chogo SITAKI KABISA
nakiri nitafanya biashara na kusocialize na wanaume
wanawake sitaki
Kama wananijua basi wamenitafuta wenyewe bila mimi kujua

masai dada kumbe una bonge ya chogo! Pamoja na hayo lakini mwanya wako unawakimbiza membaz kwa saana. Kudoz.
 
Yani afu mi nlichukulia ki masihara tu nashangaa watu wanaanza kupolomosheaa ila kwelii wanawake sio siri tuna matatizo tena sio kidogoo kah........ivi mtu unijui ckujuiii et unaanza kunizushiaaa tukijuana si ndio hatariii......duh kweli mungu aturehem wanawake sisii
 
Kujitambuwa ni hatuwa moja muhimu kuelekea kwenye mafanikio, hawa vitimbakwiri wanaojishauwa kaa nao chonjo mjuane hapahapa na yaishe hapahapa..
 
Last edited by a moderator:
masai dada kumbe una bonge ya chogo! Pamoja na hayo lakini mwanya wako unawakimbiza membaz kwa saana. Kudoz.

ahahaa hii sehem si salama kabisa naogopa sana jamani aisee
nimeshajua ni bora mwanaume umfate pm umueleze shida yajo hata kama huna ela ya p..d si mwanamke haki ya nani atakutangaza kila sehem ya nchi aisee sijui ni CHUKI au
 
Last edited by a moderator:
Wengine wapo kibiashara hvyooo wanatangaza.
Wengine nadhani hatambui umuhimu wa miili yao hvyooo wanaona kuiacha wazi ni ishuu kumbe ulimbukeni mtuu.
Wengi ya wanawake km hao hawana hofu ya mwenyenzi mungu coz mwenye hofu ya mungu hawezi Fanya vitu vya kujipotosha .
WANAUME KM WANAUME TUNAJIHESHIMU NA KUHESHIMIANA HATUWEZI FANYA MAMBO KM HAYO.

hii sehem si salama watu wa chuki ya Hali ya juuu aisee
oooh Mungu wangu
mtu ana coment kwa ukali unasema mkikutana huyu ANAKUCHOMA KISU looh au bunduki
 
Yani afu mi nlichukulia ki masihara tu nashangaa watu wanaanza kupolomosheaa ila kwelii wanawake sio siri tuna matatizo tena sio kidogoo kah........ivi mtu unijui ckujuiii et unaanza kunizushiaaa tukijuana si ndio hatariii......duh kweli mungu aturehem wanawake sisii

tumboo ki ukweli kimi nachukulia hii sehem kama ya kuondolea stress lakini kwa jinsi hali ilivyo usidhubutu kujuana na mwanamke humu HALI NI TETE
mungu wangu WATU WANA CHUKI KALI SANA
 
Last edited by a moderator:
Duh masai dada huo mwanya tu unawakimbiza ata kama unachogo waambie
 
Chogo tena?! Ha ha ha ha ha ha!

kuna watu wanachambua sana wenzao
mimi namezea tu lakini HALI NI TETE HUMU
yaliomkuta BETI YALIKUA NA SURA KAMA HII YA KUAHAMBULIANA mpaka kifo chake
 
Back
Top Bottom