Wanawake tuache kuomba pesa 2021


Kuna fyatu lingine lipo huku
Lilisema linashida na elfu 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna fyatu lingine lipo huku
Lilisema linashida na elfu 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe mko shida nini?
Tatizo huyu ninayemzungumzia tulionana tu kwa mara ya kwanza akanimwagia shida zote[emoji23][emoji23][emoji23]

So tatizo sio kuomba bali mko na uhusiano?
Na na una muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…