Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Kwani ndo mwisho wa dunia, kama alitoka kwenye ubavu wa mwanaume ataendelea kumutegemea mwanaume mpaka mwisho wa kiama. Imeandikwa.
 
Hapo stimu yote kwishinei, anakufanya hanithi kwa muda.
 
Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke

Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa[emoji28]

Kama kusudio lenu ni kuchapa kazi na kujitafutia, tutoe za kazi gani?
 
Umejuaje?
Mbona mie ndo zangu,nataka nikuweke kwenye kundi la wadogo zangu wa kike,huwa nawapa tu bila kuomba ili huko Chuo wasinyanyasike.
Nakusubiri Basi.
Kwahiyo na mimi utanipa tu bila kuomba kama dada zako? Na hautoomba si ndio?
 
Kuna manzi niliikwarua majuzi hapo, ile naiomba mtoko mwaka mpya ikanipa invoice za kusuka nywele... sijakaa sawa inasema birthday yake January 9.

Nimeamua kukaa kando hadi birthday ipite kwanza.[emoji276]
 
Kuna manzi niliikwarua majuzi hapo, ile naiomba mtoko mwaka mpya ikanipa invoice za kusuka nywele... sijakaa sawa inasema birthday yake January 9.

Nimeamua kukaa kando hadi birthday ipite kwanza.[emoji276]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] unaogopa Rungu la utosi kudakiiiiii
 
Hivi wadada huwa wanafikiria nini kuelezea mashida zao?

Nimekualika tutoke mwaka mpya, twende tukatumie hela zangu... hapo hapo unaanza ooh siwezi kutoka hivi bila kusuka bila gauni jipya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…