Wanawake Tanzania. Je, Makinda ni Miongoni Mwenu? Uspika Umekuwa Aibu Tupu, Udiktata

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kama kawaida Mwanamke anashindikizwa na Rostam kupata Uspika na matokeo ni aibu tupu. Tukiangalia wanawake duniani waliopata nafasi za juu Kitaifa: Wanatetea Haki za Wanawake Hasa Wasio na Uwezo Africa na Nchi Maskini. Kwa siku kadhaa Makinda kavaa joo la kuwanyima Rights wanawake wa Tanzania. Leo wanawake wanabeba mizigo ya kuni vijijini, mijini umeme unafanya wanawake kupika kwa shida na zaidi wanawake wafanya biashara ndogo ndogo wanashindwa kupata faida kwa sababu ya ukosefu wa umeme makosa/Maafa ya Dowans na Richmond. Uwanawake wa Makinda ni upi? Wasichana wanabaki nyuma kielemu na kukosa kazi na wengi wao kupata kazi kwa kulala na mafisadi, Uwanawake Makinda upo wapi? Makinda kujiunga Kachukua hatua kama madikteta wanaume wa chama chake kunyima Chadema nafasi ya Haki zao Kuunda Kambi ya Upinzani. Huu ukosefu na upungufu wa Makinda unafanana sana na uwezo wa Kikwete na Pinda. Taifa gani litajengwa na huyu mwanamke Spika? Mpotofu Makinda ni sawa na Palin, wanawake ambao hatuta wakumbuka miaka kumi ijayo - wanajenga legacy za miaka miwili.
Viongozi Mashuhuri Wanawake Africa na Duniani ni hawa - Tutawakumbuka Miaka Mingi Ijayo:
images

Mrs Obama, Harvard Graduate, Lawyer, and Former Healthcare Executive
images

Oprah, Business Woman, The Most Inflectional Woman in the World
images

President of Liberia
images

Wangari Maathai, Nobel Winner and Environmentalist
 
Spell check basi......
Hayo makosa kuanzia kichwa cha habari hadi maudhui....ladha imepotea kabisa
 
"Tausi" Wewe kweli Tausi. Kazi yako kuangalia spell check? au kuua hoja? Fanya kazi Microsoft watakupa kazi kama "linguistic" Mbona JF management hawakupi kazi au unemployed now?
 
Kama kawaida Mwanamke anashindikizwa na Rostam kupata Uspika na matokeo ni aibu tupu. Tukiangalia wanawake duniani waliopata nafasi za juu Kitaifa: Wanatetea Haki za Wanawake Hasa Wasio na Uwezo Africa na Nchi Maskini. Kwa siku kadhaa Makinda kavaa joo la kuwanyima Rights wanawake wa Tanzania. Leo wanawake wanabeba mizigo ya kuni vijijini, mijini umeme unafanya wanawake kupika kwa shida na zaidi wanawake wafanya biashara ndogo ndogo wanashindwa kupata faida kwa sababu ya ukosefu wa umeme makosa/Maafa ya Dowans na Richmond. Uwanawake wa Makinda ni upi? Wasichana wanabaki nyuma kielemu na kukosa kazi na wengi wao kupata kazi kwa kulala na mafisadi, Uwanawake Makinda upo wapi? Makinda kujiunga Kachukua hatua kama madikteta wanaume wa chama chake kunyima Chadema nafasi ya Haki zao Kuunda Kambi ya Upinzani. Huu ukosefu na upungufu wa Makinda unafanana sana na uwezo wa Kikwete na Pinda. Taifa gani litajengwa na huyu mwanamke Spika? Mpotofu Makinda ni sawa na Palin, wanawake ambao hatuta wakumbuka miaka kumi ijayo - wanajenga legacy za miaka miwili.
Viongozi Mashuhuri Wanawake Africa na Duniani ni hawa - Tutawakumbuka Miaka Mingi Ijayo:
images

Mrs Obama, Harvard Graduate, Lawyer, and Former Healthcare Executive
images

Oprah, Business Woman, The Most Inflectional Woman in the World
images

President of Liberia
images

Wangari Maathai, Nobel Winner and Environmentalist

Kwakweli tunahitaji kumuomba Mungu aingilie kati.
 
Huyu ni Pambo la Bunge sio Speaker, awezi kusimamia haki na kanuni za bunge, kwa kawaida yeye ni Mhuri wa matakwa wa mafisadi papa kama Rostam, Upinzani utamkoma kwani atakuwa anaongozwa na watu wawili tu RA na EL ambao kwa hali hii wamekamilisha matakwa yao lakini kwa la Richmond na DOWANSI tutakula nao sahani moja.
 
ukipoteza mwelekeo unaenda kuanzaupya. Ni wakati wa kufanya ya Tunisia na Misri. Hakuna lingine litakalotuponya
 
Back
Top Bottom