Pole dear, wakati mwingine unapoteza anazima simu na kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani mimi jamani jf inanifanya nikeshe nikiwahi sana kulala ni saa nane usiku haki hadi kuna muda najuta kuwa member wa humu ila kuifuta ndo roho inasita daah[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nitampata tu hata nikiwa na miaka 40 ndoa inapangwa na Mungu ati binadamu ukilazimisha umeharibuHapana! Me nataka umpate Musa wako tatizo mudaaaa
Nilijua jibu litakuwa hili ila najua unasema kweliYou are not. Declaration made
Usijali mdogo wangu, sema huku Jf watu wanaofanya hivyo hawapo
Eti ee? Basi inawezekana ikawa kweli.I will add you on the list of the people who have never trusted me in here but out of JF, I am the best to them
Kabisa kabisa. Bwana akusimamieNitampata tu hata nikiwa na miaka 40 ndoa inapangwa na Mungu ati binadamu ukilazimisha umeharibu
Hahahahahaha! Shaka juu yangu....Nilijua jibu litakuwa hili ila najua unasema kweli
Ila hapa napo pana kaukweli kidogo.Muda mchache mambo mengi. Wakati yeye akimuwaza mussa, huku mussa anawaza atamshinda vipi pharao (kazi ndugu yai)
Na miuno ile eti???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha uzuri sisi tunahitajiana, hakuna aliyemfanyia mwenzie favor kuwa naye; so kila mtu yupo responsible. Sio haya mambo kila siku wewe tu ndo uwaze kumfurahisha mwenzio; afu yeye anavimba tu maana anaona kukuoa kama ndo kashakuwa Yesu wako sasa.
Kuna wanaume wanajikuta miungu watu aiseeHahaha uzuri sisi tunahitajiana, hakuna aliyemfanyia mwenzie favor kuwa naye; so kila mtu yupo responsible. Sio haya mambo kila siku wewe tu ndo uwaze kumfurahisha mwenzio; afu yeye anavimba tu maana anaona kukuoa kama ndo kashakuwa Yesu wako sasa.
Ndio hapo sasa rafikiIla hapa napo pana kaukweli kidogo.
ππππππππHahaha Gwaji biy katika ubora wake..halafu jumapili akasimama madhabahuni anahubiri...ama kweli dunia imeisha
Hehehe hatari sanaHahhaa humu wote alpha males; wanavimba tu kwa wake zao
Asante itabidi nijitahidi tu kwa kweli sina jinsiPole dear, wakati mwingine unapoteza anazima simu na kulala
Haha kuna watu kukuoa anaona kama amekufanyia favour daah
AMINA KUBWAKabisa kabisa. Bwana akusimamie
Haha mama mchungaji mbinguni kuna tabu ya milele tenaEeeh basi na wewe unaishi naye kwa woga hatari; utamuabudu kuliko hata Mungu. Duniani upate tabu, bado ukifika mbinguni ukapate tabu ya milele.