Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Ntakupa zawadi nzuri rafiki. Hebu nenda mkadiscuss siasa na mustakbali wa nchi yenu huko siasani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda unipe kwanza nipime[emoji3][emoji3] nisije nikaondoka kumbe zawadi yenyewe big bom. Mustakabali wa taifa anaujua Magu
 
Akili zao haziko sawa hao, hebu nielewe kidogo.

Hatuchepukagi kwa kupenda mzee mama
Weee hakuna mwanaume anayecheat bila kupenda hivi kuna binadamu anayeweza kufanya kitu asichokipenda kweli? Labda kama atishiwe bunduki na wapo wanaokataa mbele ya bunduki yaani wako radhi kufa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa kaka zetu bwana wanajiona wajaanja....
 
Kweli tupu, mi hata asipoaga kwamba atachelewa huwa siulizi yaani huo muda sina, akirudi anaanza kujisemesha tu na kuomba msamaha,

Ukitaka kuishi kwa streaa mfatilie mwanaume, kuna vitu vingine havina hata maana sema wanawake huwa hawaelewi
 
Hahahaha amini nakwambia hii comment wataipita kama hawaiyoni
 
Nikuulize swali wewe mke wako akiwa anafanya mabaya wewe utafanya kinyume chake yaani kwamba utafanya mazuri? Naomba usiseme kuwa tunashindana maana hata wanawake nao ni binadamu nijibu hapo
Mie kwanza tu mwanamke huwa namchukulia kama mtoto always. Akiwa ana kosa huwa mwepesi kumsamehe ila ntamsema sana na huwa sichoki kumsema.

Ndio maana hata mahusiano yangu huwa ya muda mrefu cause namoyo wa huruma sana. But unapofanya vitu vya kingese kama kucheat huwa sina huruma.
 
Weee hakuna mwanaume anayecheat bila kupenda hivi kuna binadamu anayeweza kufanya kitu asichokipenda kweli? Labda kama atishiwe bunduki na wapo wanaokataa mbele ya bunduki yaani wako radhi kufa
Mimi nimekaa Tanga kidogo, mitaa ya chumbageni kuna mkichaa akiitwa pili magogo, ni mchafu balaaa na bado washkaji na akili zao walimzalisha.

Huwezi amini wala kuelewa kwamba eti yule watu wanamfuata wakimpenda. Hivi umewasikia wale wanaobaka kuku, bata ma mbuzi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…