Wanawake stress nyingine tunazitafuta

We kwa lawama hizi unaachaje kuwa tit for tat! sema approach tu zinatofautiana ila kununa nuna haikwepeki kama paka wa kirusi!
Sasa kununa siyo tit for tat, tit for tat ni kulipiza yaani ile mume akirudi saa sita usiku mke anarudi saa nane usiku mume akichepuka na wawili mke anachepuka na wanne sasa wapo wanawake mabedui wanaoweza hayo na wanafanikiwa ila mimi sihitaji hiyo mbinu nitatumia mbinu tofauti kabisa yaani mwanamke ukishamjulia mwanaume wako wala hakusumbui.
 
Ukishamjulia we fanya kinyume chake tu. Hapo utafaulu sana
 
Sasa huyo mshkaji nae alivuka mipaka. Mchepuko anakuwaje na mimba yangu???
 
Mi nawewe ni mwili mmoja kokote pale sio lazma bed. Mradi kuwe na faragha tu maana kuna mambo sitaki watu wajue nakufanyia[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
naliingiza kwenye laiti traki ya list nyeusi (blacklist)
Hatari sana mkuu! Leo naelekea sehemu flani simu inaita namwambia call me after like 30 minutes ananiambia kwani nataka nifanye nini?? Nkalikatia simu na nkaliblockia mbali huko.

Mimi nina mishe zangu wewe unataka unizonge hapa saa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…