Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,932
- 3,406
Kwani alimwambia atamkubalia akimpa figo, mbona tuna assume mengine, inaonekana walikua marafiki sana ila mwanaume aliona kuwa akijiongeza kumpa figo atajiweka nafasi nzuri ya kuzoa jumlajumla, kumbe dem anaona ni marafiki tu...so angejiuliza km atakubali amwoe ampe figo au km hataki awe rafiki ake hadi atakapokata roho ili asije kutulilia hapa