Wanawake sio watu wazuri

Hakuna haja ya kupoteza gharama cha kwanza mwambie afuate masharti yako hawezi mwambie sawa huduma zitaendelea akiweza.

Hawa viumbe wa ajabu sana mi kuna binti nilibambikiwa na washkaji kisa waliona mi sitongozi mademu basi wakanisakizia bila taarifa wakadai huyu jamaa anataka kumuoa mdogo wako .......ss wakaniacha na demu basi mm kila nikimuulizia kuhusu huyo mdogo wake yy anakaba njia nikamwambia basi nipe namba yake ya simu akasema dogo hana simu.

Tukaendelea kuwasiliana kila siku yy anakaba njia basi nikalazimika kupita naye mwenyewe,safari ikakolea mpaka siku anasema ana mimba nikamwambia poa.

Sasa mzigo umekua nikamuuliza anakadiria kujifungua mwezi gani maana mm nilinote down siku ya hiyo show akataja mwezi wa 3 kwenye tarehe15 nikamwambia haiwezekani unatakuwa ujifungue kuanzia mwezi wa 5 ndio mm nitakuwa nahusika maelezo kibaoooo ooh utakuwa umesahau na story nyingi nyingi mwezi wa 3 ukapita nikamuuliza unaona hebu sema vlinic wamekadiriaje akasema kwenye mwezi wa4 kabla ya tar20 nikamkatalia tena nikamwambia huyo mtoto km ni wangu inabidi ujifungue kuanzia Tar7 hadi 20 mwezi wa5 la sivyo kutakuwa na shida..Bwana bwana binti si akajifungua tarehe 10 mwezi wa 5 kweli basi kidume nikajiona mshindi mahitaji kedekede ila kilichokuja kutokea nikaambiwa mtoto kuna jamaa anampost FB km baba yake kufanya utafiti wangu nikagundua sina changu nikafuta kila kitu sinaga habari na kuumia kwenye watoto yaani ni suala lisilo na nafasi kwangu kuniumiza.

Mtoto ss hv ana miaka2 ikifika tarehe 10 mwezi huu,maisha yasonga nikiwa sina mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story nzuri ila umeandika kihuni kinoma. Kwa hizo akili kweli unaweza ukasingiziwa mtoto
 
fuatilia hilo jambo kwa uzito kabla mambo hayajaharibika...
 
Dahhh, so painfull, Pole sana mkuu
 

Ukianza kuwa na wasi wasi tangu siku amesema ana mimba yako, basi kuna uwezekano wa zaidi ya 50% kuwa si wako.

Alafu kama ndio anaishi kwenye geto lake ndio dah wasi wasi unazidi.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™†
 

safi sana aisee.
 
Ndio tabu ilipo, yani ukiwa na nyumba nzuri ya kuishi na gari basi ujue kubebeshwa kesi ya mimba ni chap. Kuwa makini sana na aina ya wanawake wa kutembea nao.

Ukikamua mtoto mwenye njaa njaa asiye na akili lazma ukutane nacho.
 
"Manzi fulani nilipata kuwa naye last Year mwanzani"

"MWAKA 1 na NUSU Baadaye. Ninakuja kugundua owden sio Mwanangu wa damu"

"Ni miaka 3 imepita sasa"


Sijajua kama huna kumbukumbu au ni story yako ni ya uongo au kuna mtu inamuhusu ila ukajivesha uhusika.


"Siku zikaende, akaja kutaga mtoto. Nikamuita Owden."

Hapa hujatumia ustaarabu umeandika kihuni sana ina maana na wewe ulitagwa au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Cyb
hahaha nitakuonesha ucjl
Itakuwa vyema nikiwa mkulima na wewe ukawa mfugaji maana itakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai ๐Ÿ˜…
Ila tu tusije gombana ukalisha mifugo yako kwenye mazao yangu adhabu yake nafikiri unaijua sitakupeleka serikalini wakati serikali tunazo wenyewe๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ