Wanawake sio watu wa kuwaamini hata kidogo

Wanawake sio watu wa kuwaamini hata kidogo

Ila hao wanawake si wanawakodi wanaume kuwaua wanaume wao? basi wanaume tunauana wenyewe.
 
xaxa iv hakuna mapenz so akikuonauna mchongo anajidai anakupenda thn ukimuoa anapanga kukumaliza,,,kifup wanapenda maisha mazur bila kusota
 
Habari Comrades.

Mi nataka kujua kitu kimoja, hivi hawa ndugu zetu, dada zetu wana matatizo gani hasa? Hizi story za matukio ambayo yanatokea almost kila siku kuhusu wanawake kupanga misheni za kuwaua waume zao, hii tabia inasababishwa na nini labda?

Maana sasa tutaanza kukosa imani na hawa tunaowaita wake zetu. Mi binafsi nashangaa mwanamke mzima unamframe mwanaume wako auliwe kisa Mali au wivu WTF? Sasa akifa wewe unafaidika na nini labda?

Tatizo huwaga ni nini hasa mpaka mnakuwa na roho za aina hiyo?
hata wanaume baadhi wapo hawaaminiwi
 
Tumeshajua huyo mwanamke ni wa kabila lipi, nawaogopa hao [emoji15]

Pole sana mkuu.
 
sasa hapa kwenye hoja yako umewajumlisha wanawake wote ukasahau kufafanua wanawake wa wapi hasa unaowaongelea. Manaake kama ni wanawake wa Tanzania, ndiyo nikwambie wanaume wakitanzania na Africa mashariki ni wakatili zaidi ya wanawake na kwa wingi ndiyo wanawatendea wake zao uovu wa kuwakata mapanga na kuwawasha moto wakiwa hai au kuwazika wakiwa hai.
 
Demu/Mke
Sio ndugu yako/
Weka tahadharii/
 
Back
Top Bottom