Wanawake sio waoga aisee......

Wanawake wanahatari aiseee na ukitaka kujua hili hebu fikiria MTU anajiuza road kitaa na hamjui mteja wake ni nani, so yeye aliwachukulia nyie kama wateja tuu maana Malaya wapo aina tofauti sana.
Wanaojipanga road
Wanawasiliana na wateja wakiwa home
Wanaoenda kuvizia bar
Wanaosafiri ikibidi hadi China
Kiujumla women ni hatari
 
Nyie mnaojibebea wanawake mlokutana nao kwa mara ya kwanza huwa mnajiamini nini? Je kama huyo binti angekuwa ni chambo(jambazi)!!! Kabla haujanyoosha vidole mjiangalie na nyie mliojibebea mwanamke mlokutana nae kwa mara ya kwanza.
 
 

Attachments

  • IMG-20170928-WA0004.jpg
    11.6 KB · Views: 25
kweli kuna hatari,hata wanaojiuza nao wana hatari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…