Wanawake sio waoga aisee......

Hua nafanya hivyo Mara paap Dem kakubali hapohapo namshusha hazi
 
Hahaaaa. Eti km 09 bado yumo tu sa sijui huyo mwenzetu alitaka akashukie wapi.
Yaani anajiamini balaa, kukaa nao tu ilikuwa inatosha ujue!!!! Hakuwaza hata kuna kubakwa!!???
 
Uyo alikuwa kazini mwanamke bar usiku mwenyewe anafanyaje lazima mufikiliage Na sometimes wanaume mue makini mtapakia ata majini
 
Hili ndilo tatizo la wanaume.
Mkinyimwa mnalalamika, na mkikubaliwa mnapondea......
 
Hivi hutajisikia raha kusikia watu wanasema Bonny katembea na Emmyta kwanza ni afya
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Aiseeee. Kama ni afya hiyo basi nimeghairi.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Aiseeee. Kama ni afya hiyo basi nimeghairi.
Kwahyo wewe hupend matembez ndio maana vitambi vinaongezeka aisee kutembea au kukimbia ni afya kwa mwili wa mwanadamu
 
Kwahyo wewe hupend matembez ndio maana vitambi vinaongezeka aisee kutembea au kukimbia ni afya kwa mwili wa mwanadamu
Hahaaa. Bonny kwa jinsi nilivyo chembamba hata hayo matembezi hayatakuwa na lazima saana.
 
Mnajua ninyi ni waseng?ebu ficha ujinga wenu hapa.demu mkali mnamuacha badala ya kumla.sasa pale baa mlimuitia nini?ungekua karibu yangu ningekutia makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…