Ushasema dadq yake au ndugu...kwani mdogo wa mkeo ni dadako au ndugu?sisi kwetu ukifiwa na mke unaenda kupewa mdogo wake kama yupo!Unaweza kushindwa kujizuia kwa Dada yako au ndugu yako pia?
KwakweliUmeyajua mapenzi ukiwa 35+ yrs mkuu?
Unataka kufidia magepu.
Punguza tamaa za kijinga, utamla hadi mdogo wako sasa.
Sawa kiongozi lakini hata kwa maelezo yako umeandika hadi mke afariki ndio unapewa mdogo wake kama mke lakini sio kuonja mdogo wa mke angali hai.Ushasema dadq yake au ndugu...kwani mdogo wa mkeo ni dadako au ndugu?sisi kwetu ukifiwa na mke unaenda kupewa mdogo wake kama yupo!
Buddha usiwasikilize hawa vinabo wewe mwambie amlete akimleta mtombe maana kenge hasikii mpaka masikio yalowe damuAtakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
...lakini kweli!Sawa kiongozi lakini hata kwa maelezo yako umeandika hadi mke afariki ndio unapewa mdogo wake kama mke lakini sio kuonja mdogo wa mke angali hai.
Sasa kama mtu hawezi kujizuia kwa mdogo wa mke wake, kitu gani kitamfanya atambue kwamba hatakiwi kufanya hivyo kwa baadhi ya watu?
Oya mwambie amlete huyo mdogo akimleta tu mtie mimba tena usicheleweshe utakua umeoa mdogo mtu na dada mtu kwa mahari moja, imeisha hioSafi sana, nitamshughulikia kwa wivu mkubwa sana
Nshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Wanamuambia eti mchoyo ..... Hawajuagi hawa... Mi naweza kumwambia wife rafiki Yako fulani punguza naye mazoea ..anakuwa MKALI kumbe mwenzake nimeshaona mitego ya best yake najaribu kuokoa jahazi.. inawezekana hata Buraza Kuna namna huyo Binti anamtegaga hivyo ni HERI kumuweka mbali...kwani huko alipo hawezi kusaidika mpaka aje aishi hapo!?? Na Kuna kesi nyingi tu za Hawa wake zetu kuleta ndugu halafu ukaundiwa Zengwe la ubakaji, usaliti (infidelities, molestation yaani hawaaaa)... Mimi kaka alishawekwa ndani mpaka ukweli kuja kujulikana alishachakaaa ....We jamaaa ni msatarabu sana
Kabisa tupo pamojaBuddha usiwasikilize hawa vinabo wewe mwambie amlete akimleta mtombe maana kenge hasikii mpaka masikio yalowe damu
Wamekuonea sana, kwamba kwako ulipojenga kwa gharama ndio kituo cha kulelea wanaojitafutaUkiweza kusaidia ndugu awe upande wa MKE au kwako mme...saidia wakiwa huko huko ..... Huu upole ulinigharimu sielewani mpaka na mama yangu. Tizi limeanza mtoto wa sister kamaliza four nikamchukua oyaa ...hata sijampeleka diploma mimba hii ... Nikamrudisha ikawa kelele... Nkawaambia siwezi kulea mtoto wa dada na mimba yake juu na kusomesha juu. .. chagueni moja aolewe na huyo ... Ama azae ndio aendelee na chuo ... Nikaonekana mbaya. Tizi la pili dogo tumepambana weee kusomesha kafika mwaka wa 3 kaacha chuo kapotelea anapojua yeye ...zaidi ya miezi 6 anakuja naambiwa nikae nae ... Haaa sawaa ...nikakaa naye una mpango gani ... Biashara... Ikafunguliwa ... Kilichokuja kutoea ni yeye kuondoka Sasa nyumbani kwangu kwamba nambana sana... Issue ni kuwa tulimpa mtaji Sasa asimamie mzigo ukiisha ajiagizie mwenyewe. Sasa heshima/nidhamu ya fedha hana ....mtaji ukakata biashara ikakata .. akasepa..
Sasa nna mtoto mwingine wa sister yupo form four wanafanya mtihani ilaaa Ile shughuli sio ndogo...kukaa na watoto wa watu kizazi hiki ni ngumu sana. Mbona sisi tulilelewa kwa ndugu na kukua vizuri tu. Ila siku hizi hata umwambie fagia ni unamtesa kidogo simu unnitesea mjukuu ... Ukiweza kusaidia ndugu msaidie akiwa huko huko.
Hii nitaitafuna tuuLabda kama una agenda yako binafsi, jaribu kumuangalia vizuri kama kichwani zimo kula kimya kimya inakuaga mboga ya lifetime hiyo.
Sawa, ndio mana nimesema aje simnyimi kitu nitampa Hadi ukuniWewe Lichoyo tu huna lolote.
Ushasema dada, huyo sio dada yanguUpuuzi mtupu, hizo nyege mbona hupati kwa dada zako?
Nyie ndo mnabaka mifugo mkiachwa peke yenu home..!