moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 8,040 Reaction score 16,870 Feb 10, 2025 #161 Lamomy said: ๐น๐น๐น Hiyo ya zamani achana nayo..!! Click to expand... nipe mpya basi kungwi wangu
Lamomy said: ๐น๐น๐น Hiyo ya zamani achana nayo..!! Click to expand... nipe mpya basi kungwi wangu
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,546 Reaction score 22,981 Feb 10, 2025 #162 Mwachiluwi said: Iyo stlye kwanza ushaiweza? Click to expand... Na urefu huu wa shingo unataka ivunjwe
Mwachiluwi said: Iyo stlye kwanza ushaiweza? Click to expand... Na urefu huu wa shingo unataka ivunjwe
M Mightyarmy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2023 Posts 312 Reaction score 455 Feb 10, 2025 #163 Kimwakaleli said: Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili! Click to expand... umenena. Bila kumcha Mungu kuwaepuka hawa viumbe ni kazi. Wanatumiwa sana na shetani kuharibu maisha ya watu na ndoa zao.
Kimwakaleli said: Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili! Click to expand... umenena. Bila kumcha Mungu kuwaepuka hawa viumbe ni kazi. Wanatumiwa sana na shetani kuharibu maisha ya watu na ndoa zao.
MrsPablo1 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 1,221 Reaction score 2,238 Feb 10, 2025 #164 Sijui ndo hii ya kukwepa kodi ๐ Lamomy Spoiler: 18+