Wanawake semeni ukweli

Wanawake semeni ukweli

Sa
Sasa wewe umeona mimi kuna sehemu nimeandika aliye na pesa au asiye na pesa mimi nimemaanisha wapo wanaume ambao wanakosa kabisa wanawake yaani kila wanapotongoza wanakataliwa sasa wawe na pesa wasiwe na pesa mimi hainihusu ila ndo hivyo wanakataliwa
Sasa na Mimi nakwambia hawapo ktk dunia hii
 
Sa

Sasa na Mimi nakwambia hawapo ktk dunia hii
Hehehehe sasa mmojawapo si ndo wewe au? Ulikuja kuwalilia watu humu eti kila mwanamke unayemtongoza hakukubalii wanawake wote hawa jomoni ukose hata mmoja kweli?
 
Jana watu kwenye vibanda umiza walikasirika kiasi kwamba matusi ndio ilikuwa lugha ya kuelewana humo.

Wakenya wakatujambisha....baada ya wao kupigwa 2 mtungi wakaja na kauli eti wanasubiri game na sisi wanyonge.

Navoona starz watatuuwa na stress hawa.

Dadek tulikuwa tunashambuliwa kama tumeiba tecno kwenye mfuko wa rambo.

Yaani kuna wajomba walipangana wakazichapa

Saa hizi sijui wanajutiaje [emoji23]🤣
 
Hehehehe sasa mmojawapo si ndo wewe au? Ulikuja kuwalilia watu humu eti kila mwanamke unayemtongoza hakukubalii wanawake wote hawa jomoni ukose hata mmoja kweli?
Kwani akina Erick Shigongo wanachokiandika huwa kinahusu maisha yao? Ile ilikuwa nfanya investigation
 
Kwani akina Erick Shigongo wanachokiandika huwa kinahusu maisha yao? Ile ilikuwa nfanya investigation
Kwahiyo wewe ule uzi uliouandika ulikuwa unahusu maisha ya mtu mwingine?
 
Back
Top Bottom