Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.