Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
- Thread starter
- #41
Itakuwa huna experience na mpenzi mpya.Sasa kama uliona haina maelezo na ukatoa tena unakuja hapa kulalamika nini?
Itakuwa huna experience na mpenzi mpya.Sasa kama uliona haina maelezo na ukatoa tena unakuja hapa kulalamika nini?
Maana yake ni mda huu uliopo .Hadithi yako napenda kuielewa.Hivi "asaivi" maana yake nini?
Hebu jitahidi kuandika kwa ufasaha.Hii ni lugha inayohitaji kuenenda kwa umakini.Ungeandika "sasa hivi"! What is " asaivi",anyway?Maana yake ni mda huu uliopo .
Sijajua una umri gani ila wajukuu wako inaelekea watapata tabu sana...Hebu jitahidi kuandika kwa ufasaha.Hii ni lugha inayohitaji kuenenda kwa umakini.Ungeandika "sasa hivi"! What is " asaivi",anyway?
Sasa ukiambiwa uandike kwa ufasaha ni kosa?Kwa hiyo korosho za kule kwenu niandike "koosho"?Sijajua una umri gani ila wajukuu wako inaelekea watapata tabu sana...
Hongera kwa kujiunga na baraza la kukuza kiswahili nchini.
Utaeleweka tu, maana naona kama umepanic...Sasa ukiambiwa uandike kwa ufasaha ni kosa?Kwa hiyo korosho za kule kwenu niandike "koosho"?
Siwezi ku-cool down kirahisi hivyo.Hapa nilipo nimekunja mikono ya shati nataka tuzipige.Huwezi kuharibu kiswahili kwa wepesi hivyo!Utaeleweka tu, maana naona kama umepanic...
cool it down, inshort umeeleweka ujumbe umefika.
I'm master JUDO, njoo vizuri...Siwezi ku-cool down kirahisi hivyo.Hapa nilipo nimekunja mikono ya shati nataka tuzipige.Huwezi kuharibu kiswahili kwa wepesi hivyo!
You can't be a "master JUDO" with that very handwriting! Better write ...I am a martial artist...! You can't be JUDO itself, boy!I'm master JUDO, njoo vizuri...
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
Ughonile20000/= within few hours.... kwakwel ctak kumharibia mtu kitega uchumi chake...Mma bhagwitu mma!!![]()
1 day you wili appreciate either i'm real Mr JUDO or notYou can't be a "master JUDO" with that very handwriting! Better write ...I am a martial artist...! You can't be JUDO itself, boy!