Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
- Thread starter
- #21
Laki asingepewa ila elfu 20 yangu inaweza ikawa sawa na thamani ya laki.dah! elf 20 una lalamika hivyo? ungeombwa laki? si ungeenda dawati la jinsi kushtaki
Laki asingepewa ila elfu 20 yangu inaweza ikawa sawa na thamani ya laki.dah! elf 20 una lalamika hivyo? ungeombwa laki? si ungeenda dawati la jinsi kushtaki
Asante kwa kunipa moyo wa uvumilivuMkuu usilalamike na wewe si atakupa papuchi one day so utapoza machungu yote mana najua karoho kamekuhuma kwa kuwa ujapewa kipochi manyoya
Najua wako wengi kama yeye ila wasubiri angalau masaa 48, nahisi isingeumiza sanaKama uliona ni jambo la kushangaza usingempa, sasa umempa halafu unamsimanga
Yaani kama ni speed nahisi anatembelea Bugati.20000/= within few hours.... kwakwel ctak kumharibia mtu kitega uchumi chake...Mma bhagwitu mma!!![]()
Uyo demu nae anaonekana alikuwa ana njaa za fisi mla mifupa yan ata siku aijaisha kakugonga mzinga mapema ivyooNajua wako wengi kama yeye ila wasubiri angalau masaa 48, nahisi isingeumiza sana
Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.
😂😂😂😂ungemwacha akafie mbele ila co kw speed hizo....yaonyesha alijiandaa kuondokea tano!Yaani kama ni speed nahisi anatembelea Bugati.
Haina maelezo alisimamia katika shida tu.Alikuambia elfu20 ya kufanyia nini?
Tuanzie hapo kwanza.
ungemwacha akafie mbele ila co kw speed hizo....yaonyesha alijiandaa kuondokea tano!
kwakweli wanafurahisha na vituko vyao.Unajikingaje na UKIMWImi ndo mana huwaga nachukuaga machangu najipoozea kwa buku 10 tu nasahau nikitaka mtandao pendwa naongeza 5000 napiga narudi zangu kulala siku imeisha..... hawa mbung'o wa mtaani wapumbavu sana hawana akili dem anakuomba hela dakika 10 baada ya kumtongoza hata aibu haoni nikiyaka kuoa ntatafuta mke saiv acha nijipooze na machangudoa kwanza mana uku kwetu wapi kama kibao bei rahis wazuriii miku**u mikubwaa tunajilia taratibu maisha ndo hata hamnaga mengine
Sasa kama uliona haina maelezo na ukatoa tena unakuja hapa kulalamika nini?Haina maelezo alisimamia katika shida tu.
...😎😎cku ingine ucwe mwepes kutoa mapema ivo kwa mbali ya vocha2 ita sound good..![]()
![]()
kwakweli wanafurahisha na vituko vyao.
Hadithi yako napenda kuielewa.Hivi "asaivi" maana yake nini?Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.