Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
- Thread starter
- #61
Hata advance unampa bhana.Ujasiri ni wewe kumpa hela wakati bado hujapewa papuchi...
"Kama kazi haijaisha, kumlipa Fundi ni use....ge.!?"
Hata advance unampa bhana.Ujasiri ni wewe kumpa hela wakati bado hujapewa papuchi...
"Kama kazi haijaisha, kumlipa Fundi ni use....ge.!?"
Msukumo wa mapenzisasa unalalamika nii na umetoa mwenyewe kwani ulishikiwa bunduki
Pole kwa kutiwa aibu na mimi.kijana mwenzangu unatia aibu.
Kinachowaponza ni kudhani kuwa ukimpa hiyo aliyoomba ndo umejipatia tiketi ya kumpata. Hiyo sio kweli kwa kila mwanamke. Unaweza kumpa na usimpate pia.......Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.
Kumpata kivipi wakati kanikubali ila tu ndo ameharakia kuomba hela.Kinachowaponza ni kudhani kuwa ukimpa hiyo aliyoomba ndo umejipatia tiketi ya kumpata. Hiyo sio kweli kwa kila mwanamke. Unaweza kumpa na usimpate pia.......
Kumpata kivipi wakati kanikubali ila tu ndo ameharakia kuomba hela.
Wanakwambia Mwanamke kama hakutaki anakuomba hela siku ya Kwanza tu ya kutongozanaJana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.
Ni biblia au qur an hiyo?Wanakwambia Mwanamke kama hakutaki anakuomba hela siku ya Kwanza tu ya kutongozana
Hiyo ni Moja ya Mbinu zilizovumbuliwa na wao wenyewe wanawakeNi biblia au qur an hiyo?
Mimi sijui imekuwaje kila nikimpa .wanamke hela zinakuja zingine mara 2 zaidi sasa natamani wawe wananiomba nyingi. Sijui hii ndio JAZA UJAZWE?

Nimebisha.Labda uwe Mr.JUDA!1 day you wili appreciate either i'm real Mr JUDO or not
Hata advance unampa bhana.
DAH sawa mkuu nimekusomaMsukumo wa mapenzi
Ujasiri ni kuomba hela wakati umetongozwa ndani ya masaa 19 na sio kumpa hela.