Wanawake safisheni jiji obama apite!!!

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wengi hawasafishi majiji,hii inasababisha wakati obama akitaka kupita anakutana na takataka nyingi hasa msitu yenye harufu kali sana,wengine misitu hiyo yapata miezi kadhaa du.jamani wanawake hasa wa chitchat safisheni misitu ni kwa afya pia ni njia yakutunza mazingira.usiku mwema .nawapenda mimi nimesafisha sasahivi jiji langu
 

e e e eh jisute kwanza
 
Nivea jiji lasafishwa kila siku mamie....siyo hadi obama apite....
 
Last edited by a moderator:
Chezeya uoto wa asili wewe.....
Anyway hali ya jiji ni safi, mvua za msimu nk...
 
Haaaaa mwenzio nawania kadi ya dinner we wawaza mapori shauri zako. Niitie Ritz anipe kadi.
 
senkyu Nivea. ukifanya tena usafi uje utuambie ili tukumbuke!
hahahah paloma bwana jiji umesafisha lakini shostito ili sosoliso apite il apole kwa msiba mamie haya mambo sitakagi yasikia hasa kwa watu wangu wa karibu kama wewe .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…