Zaidi ya hilo, atakuheshimuje wakati unao wanaume wengi:Aniheshimu nimemzaa? 😀
wewe unahitaji msaada wa ziada wewe.
sema leo sijabeba bible.. za kwenye mtandao wanedit watu siziamnimkuu sijapindisha andiko mimi hebu pitia hapa mwanzo 3,16 Halafu ujekunambia wapi nimepindisha.
NANI KAMA MAMA! Hakika ni jibu tosha.Mpaka utalielewa hili swali na utalijibu:
Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
Swadakta unakuta dume zima linalilia lilipiwe mahari [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanawake hawalii siku hizi, kazi ya kulia tumewaachia nyie
Afadhali mkuu umsaidie hapo mana naona sijui haelewi ama hataki kuelewa mimi nimesha choka kumjibu hoja yake.NANI KAMA MAMA! Hakika ni jibu tosha.
Nafasi ya umama isidharirishwe na wanawake wachache wenye tabia nje ya maadili, kama yalivyoainishwa kwenye mada kuu. Vivyo hivyo kwa wanaume
wanawake mnaparuzana kutwa mzima (wake wenza) mkigombania mwanaume aliyewaweka ndani utafikili zizi la ng'ombe!!Swadakta unakuta dume zima linalilia lilipiwe mahari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Afadhali mkuu umsaidie hapo mana naona sijui haelewi ama hataki kuelewa mimi nimesha choka kumjibu hoja yake.
😀😀😀Swadakta unakuta dume zima linalilia lilipiwe mahari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakika mimi ni MWANAMKE RIJALIZaidi ya hilo, atakuheshimuje wakati unao wanaume wengi:
1)Aliyekubikiri lakini hakukuoa
2) Aliyekuoa lakini hukuzaa naye
3) Uliyezaa naye lakini hakukuoa
4) Anayekufikisha kileleni lakini si mmeo
5) Anayekupa matunzo lakini si mmeo
6) Unayeishi naye lakini si mmeo
7) Mmeo
Kadada unachekesha sana duu!!!Hilo unaambiwa wewe, au wewe ni mama mwanamme? Maana'ke sikuhizi mpo.
Usiongelee kabisa uwezo wa mwanamke au mkajidai mnaweza kumwezesha mwanamke. Wengi wenu mpaka mijitu mizima mnalialia kwa mama zenu na dada zenu halafu leo hii mnataka kuleta nyodo humu?
Hawana kazisass mbona kila siku vinaundwa vyama vya kutetea haki za wanawake.?
Kadada unachekesha sana duu!!!
Unauchungu sana na haki yako lakini hujui namna ya kuipata
soma hapo juu then chukua hatua.
Ni kweli MWANAMKE RIJALI acheza na WANAUME saba maishani mwake.Hakika mimi ni MWANAMKE RIJALI
hamkulazimishwa lakini?; UTEGEMEZI.
wanawake mmekuwa na tabia ya utegemezi kwa wanaume katika maswala ya kiuchumi
Tumeagizwa kuzaa sio kula kwa jasho
Kwani tumelalamikia?hamkulazimishwa lakini?