Wanawake pitieni hapa

Tumemuelewa sana, after all wengi wetu siku hz tunajitambua sana. Wamebaki wachache ambao ndio wako hivyo.
Mkuu hapo ni kinyume chake wanao jitambua ni wachache wengi bado wanahitaji kufumbuliwa macho ukipitia humu utakuta mada za malalamiko kabao huku mitaani ndio kabisaa.
 
Tumemuelewa sana, after all wengi wetu siku hz tunajitambua sana. Wamebaki wachache ambao ndio wako hivyo.
Hongera..itisha supu ya makongoro hapo kwa mgosi nitalipa
 
Tuanzie hapo kukusasambuwa.

Jee, wewe hukumtegemea mama'ko toka ulipokuwa tumboni mpaka unakuwa?

Au ulikuwa unalelewa na baba'ko? (Kama unamjuwa).
 
= mmeukariri

Huo usemi nnauhakika umeungwa na wanaume wajinga kama wewe.

Sisi tunaweza sana tena na tunawawezesha na nyinyi maisha yenu yote.

Nnakuuliza, aliyekuwezesha kukuchambisha wakati unajinyea ni nani? Alikuwa mwanammke au mwanamme?

Aliyekuwa akikukogesha (pengine mpaka leo hii) ni mwanamke au mwanamme?

Aliyeanza kukufundisha ABCD... ni nani? Mwanamke au mwanamme?

Punguani wahed.
 
mkuu kwani hayo matusi yote ya nini? hapa hatugombani.
tunaeleweshana tu kuhusu mambo ya kimaisha.
Halafu naona hujanielewa.
MIMI SIJAONGELEA KUHUSU UZAZI NA MALEZI.
MIMI NIMEGUSA NAFASI YA MWANAMKE KIUCHUMI NA MAMBO YANAYO MFANYA YEYE KUWEKWA DARAJA LA CHINI.
Usiseme kuwa wanawake mnatuwezesha wamaume wakati kila leo vinaundwa vyama vya kutetea haki za wanawake ili kuondoa ukandamizi.
Japo ni kweli asilimia chache wamabadilika.
(swala la uzazi na malezi hakuna anae wapinga turudi kwenye mada husika).
 
Ulipochamba wanawake hukuona kuwa ni matusi unachamwa wewe unaona ni matusi.

Hakuna tusi, hujuwi maana ya kuchambishwa wewe?

Huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
 
Tuanzie hapo kukusasambuwa.

Jee, wewe hukumtegemea mama'ko toka ulipokuwa tumboni mpaka unakuwa?

Au ulikuwa unalelewa na baba'ko? (Kama unamjuwa).
mkuu hebu punguza hasira kwenza alafu soma mada inahusu nini ndo uchangie kwa sababu una chokisema hakipo hapo.
 
Ulipochamba wanawake hukuona kuwa ni matusi unachamwa wewe unaona ni matusi.

Hakuna tusi, hujuwi maana ya kuchambishwa wewe?

Huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
Naona hujaelewa bado (usihusishe uzazi hapo mimi sijaongelea uzazi)
Halafu hicho mnachoita michambo ndio chanzo kikubwa kinachowafanya mnashindwa kupambanua mambo hatimae mnatoa maamuzi ya ovyo.
 
Mama'ko itakuwa alifanya maamuzi hovyo kukuwezesha wewe.

Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
 
Na mimi nakuuliza kuanzia upo tumbona hadi unazaliwa kulelewa mpaka kukua hiki kipindi tunakiitaje??
 
huwezi kuweza kumlipa mwanamke katika habari ya uzazi kwa kuwa hilo ni jambo la kipekee kwake.
Na ndio maana katika mada hapo hakuna mahali nimegusia hilo.
sijui kama unaelewa hapo.?
kama hujaelewa hapo itakuwa hujamua kuelewa ama hutaki kukubali uhalisia.
 
Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
 
Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
wewe unahitaji msaada wa ziada wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…