Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Acha kbsa my dear yan simshauri mtu aolewe kisa umri unaenda olewa when u ar ready and well established wanaume siku hz cyo wale wa zaman wanakwepa majukum siku iz..atajfanya ntakutunza ngoja akuweke ndan sasa
Na ukiwa well established kwa wanaume unao wasema wewe wa sasa lazima atakukimbia atakuja kutumia tu ulivyochuma wewe hakuna mwanaume anapenda kuishi kwenye empire /au kuwa chini ya mwanamke..so uamuzi ni wako
 
Nyie achana nao wao wanaenda juu siso tuna shuka chini...! Mimi sikuhizi nakula vigori tu above 25 sitaki kuwaona...!
 
hahahahahaaaaaa.

.Itafahamika tu....
 
Umri ukienda wanaanza kuishi kwa matumaini..Wakienda kwenye harusi wanagombaniana maua kwa vikumbo teh

Heaven Sent mwaka huu ukiisha haujaleta mtu,nakuozesha kwa yeyote yule
Hahahaa, wewe baba heaven lazima utambue kuna tofauti katika wanawake,wapo wanaotetemekea ndoa na wapo wasio na mpango,muache kugeneralize....wanawake wa nyakati hizi sio sawa na wa zamani
 
Hahahaa, wewe baba heaven lazima utambue kuna tofauti katika wanawake,wapo wanaotetemekea ndoa na wapo wasio na mpango,muache kugeneralize....wanawake wa nyakati hizi sio sawa na wa zamani
Shida ni pale wanapokuja zaa na wame za watu na kuhatarisha ndoa za watu
... wangeweza kubaki single forever hata mimi ningewatetea.
 
Mkuu wapo na wasenge,,,,tupon wachache saana hawajijui
 
Shida ni pale wanapokuja zaa na wame za watu na kuhatarisha ndoa za watu
... wangeweza kubaki single forever hata mimi ningewatetea.
Unajua labda sielewi...wakizaa na waume za watu,shida gani hutokea,si wanalea wenyewe,inakuaje mnaguswa hivyo?
 
Hahahaa, wewe baba heaven lazima utambue kuna tofauti katika wanawake,wapo wanaotetemekea ndoa na wapo wasio na mpango,muache kugeneralize....wanawake wa nyakati hizi sio sawa na wa zamani
Teh teh..Yeah..Wapo wanawake ambao kuolewa kwao sio issue..Ila naamini asilimia kubwa ya wanawake wanazitaka ndoa..Sema tu siku hizi mmekuwa selective sana..Mna mavigezo lundo wenyewe..Ila umri ukienda mnaanza kuvipunguza kidogokidogo
 
Kwani mwanamke lazima aolewe akiwa na umri mdogo kuliko mumewe? waacheni wanawake wajipange na maisha ndiyo waolewe mwanaume anaweza akaumwa, akapata ajari, akafukuzwa kazi au akafa familia itaishije kama inamtegemea mtu mmoja. Kuwaza ndoa za zamani kwenye maisha ya leo ni akiri finyu lazima mwanamke ajipange sawa na mwanaume ili wajenge familia
 
Unajua labda sielewi...wakizaa na waume za watu,shida gani hutokea,si wanalea wenyewe,inakuaje mnaguswa hivyo?
Umeandika wewe au umesaidiwa. Em jiweke kwenye hiyo position ya huyo mwanamke unaetaka share nae bwana...,,,,!!! Wonders
 
Kuna anachotaka huyo. Labda mtoto.

Me I can't think of any reason ya kunifanya niishi na mtu simpendi. Kwanza tutagombana kila siku I'm very short tempered. Bora nikikupenda nakuwa mpole.
Aisee....yani wewe una hatari kwelikweli

hujawahi penda??
 
Umeandika wewe au umesaidiwa. Em jiweke kwenye hiyo position ya huyo mwanamke unaetaka share nae bwana...,,,,!!! Wonders
Ukiishi huku unapingana na nature hutokua na furaha,inajulikana wanawake ni wengi kuliko wanaume,na wanaume wengi wana mipango ya kando,kushare kitu cha kawaida,hakuna wa peke yako labda umchonge...mimi ndio maana sioni hata maana ya ndoa kwa kipindi hiki,tofauti na zamani..mtu anaweza kuolewa akaishi maisha magumu sana kunyanyaswa na mume huko ndoani,na huyu asieolewa akaishi powa tu no stress....ni maamuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…