VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Ujue Sasa hivi wanaume wanafanya mapenzi kupunguza hamu tu............. Kwanini nasema hivi?!
Wanaume wa sasa hivi wanaonekana hawana nguvu za kiume kwa wadada wengi kitu ambacho sio kweli. Labda leo nifunguke ukweli; zamani wanaume waliwafaidi saana wanawake ndo maana walikua wakipiga show kwa muda mrefu.
Kwanini? Zamani wanawake walikua na joto jingi saana ,zamani wanawake walikua hawatumii vidonge, sindano, pedi wala kuchukua matango na ndizi kujingizia sehemu za siri kuhalibu marinda. Zamani utandawazi pia hakutumika kuhalibu mili yetu....yaani wanawake wa sasa hivi, unakuta mkaka wa watu anakuona mzuri anatumia gharama zake akupate akikupata joto huna, marinda huna, mwili umeujaza sumu, sindano zako, njiti zako, vidonge vyako, pedi zako, matango na ndizi ndo waume zenu wa sasa, vinapishana kuingizwa humo; kiufupi wanawake wengi wa sasa hivi hatushawishi kwenye tendo kwa sababu ya kujifanya tunajua kila kitu. Acha wanaume waendelee kuonekana hawana nguvu za kiume kitu ambacho wadada na wamama ndo tatizo wanajifanya wa kisasa kumbe wanajimaliza wenyewe yaani mwanaume anakuingilia hasikii chochote.
Pia njia zetu zinakua kubwa kwa sababu ya kujingizia madude sehemu za Siri kujifanya sisi wazungu.....wanaume masikini mnapitia mengi kila uchafu mnabebeshwa ndo maana mwafa mapema. MUNGU awapiganie.