Wanawake nisaidie hii imekaaje?

Wanawake nisaidie hii imekaaje?

PARADIGM

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
2,774
Reaction score
1,829
Umempenda msichana na unamhudumia mara anaanza za kuleta. Kila mkipanga kukutana anakuwa na sababu zisizoisha ila bado akiwa na shida anarudi kwako.

Sasa umeamua kuachana naye na una una mtu mwingine ila kajitahidi mpaka kapata namba ya mtu wako huyo.

Huyo ex kila siku anatuma simu kama zinatoka kwa mwanamme anayemtaka huyu mwanamke mpya. haitoshi na anatuma sms za mapenzi kwako pia lakini ni namba ya mtu usiyemfahamu.

Huyu anakuwa na lengo gani maana yeye kakataa mechi na wakati alichotaka kwako ulimsaidia ila ushaamua kuhesabu yote uliyomfanyia kama sadaka na sasa una mtu mwingine. Hii ni nini hasa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni nini hasa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Unampata Faiza Ally?
Basi ndio aina ya mwanamke uliyekutana nae,usije ukathubutu kujihusisha nae kwa namna yoyote...hata akijitolea kukupa offer ya nyapu,usiiguse!

Kama ukijihusisha nae kwa namna yoyote siku yakimpanda anakudhalilisha kweupeee
 
Ahsante kwa ushauri. japo nilishaambulia mara kadhaa kabla hajaa za za kuleta na kujifanya hayuko reachable kila mara tukiwa na mihadi

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
nipe sifa za hawa viumbe...maana nikimfikiria simwishi...what is her drive? and what does she gain from doing that?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
PARADIGM

Sifa zao hua hawawezekaniki na ata hua hawaolewi kwasababu wanakua hawako tayari kutawaliwa..Sasa ikitokea wako kwenye Ndoa basi jua kapata Tahira wake anam’buruza awezavyo 🤣🤣🤣🤣🤣👋👋

Miongoni Mwa Sifa zao ni Hizi:-👇👇👇

1 - They always have a sense of entitlement🧕na wanapokosea hawaoni makosa yao ila ya mwenzawake sasa 🤣🤣🤣🙌

2 - Ata urafiki tu kwa Wanawake wenzie hua haudumu kabisa utaskia
('you always' or 'you never' ) statements

3 - ‘Just shut up' statements..the silent treatment

4 - No integrity

5 - No morals

6 - Drama 🎭 Queen’s

Fortunately..if someone wants to change those above behaviors it can be done..toxicity isn't necessarily fatal
 
PARADIGM

Sifa zao hua hawawezekaniki na ata hua hawaolewi kwasababu wanakua hawako tayari kutawaliwa..Sasa ikitokea wako kwenye Ndoa basi jua kapata Tahira wake anam’buruza awezavyo

Miongoni Mwa Sifa zao ni Hizi:-

1 - They always have a sense of entitlementna wanapokosea hawaoni makosa yao ila ya mwenzawake sasa

2 - Ata urafiki tu kwa Wanawake wenzie hua haudumu kabisa utaskia
('you always' or 'you never' ) statements

3 - ‘Just shut up' statements..the silent treatment

4 - No integrity

5 - No morals

6 - Drama Queen’s

Fortunately..if someone wants to change those above behaviors it can be done..toxicity isn't necessarily fatal
Ahsante kwa somo. wakati mwingine waweze kujiuliza umekosea wapi kumbe wajihukumu kwa matatizo ya mwenzio.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu Jina lako limekaa kijanja ila huelewi situasheni ndogo tu hii?Hapo kaona msukule wake unakata kamba,na atafell kimaokoto,na chanzo ni huyo manzi uliyenae,so anataka muachane aendelee kukufanya fala,kama alikuwa anakupenda nyapu angeshakupa zamani
 
nyapu siyo kwamba hakunipa. Niliambulia mara 4 ila nilikata tamaa baada ya kuona siku yeye akipenda ndo anatoa...Nikaamua kujitoa pamoja na yote niliyokuwa nishamfanyia.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu Jina lako limekaa kijanja ila huelewi situasheni ndogo tu hii?Hapo kaona msukule wake unakata kamba,na atafell kimaokoto,na chanzo ni huyo manzi uliyenae,so anataka muachane aendelee kukufanya fala,kama alikuwa anakupenda nyapu angeshakupa zamani
Hata nikiachana na huyu siyo lazima nimpende yeye.

Back
Top Bottom