Wanawake ni watu makini sana

Hiyo No 1 wanaonekana hivo sio kwasababu wana akili, ni kwasababu wanaume hatunaga time ya kuwafatilia; ni ngumu mwanaume kufatilia simu ya mkewe HASA kama anampenda, ni ngumu kufatilia nyendo za mkewe cause hatunaga muda huo now because huaga hatu invest kwenye hayo mambo ndio wao wanaonekana kama wana akili which is not true (nazungumzia muktadha wa kimapenzi tu, mengine mlioyasema kuwahusu mpo sahihi )
Endapo wanaume tukiwa makini kuwafatilia just for 10% only, ni rahisi mno kujua kama mwanamke wako anachepuka kuliko sie wanaume, wanawake by nature, hawana uwezo wa kuwaweka mpenzi zaidi ya mmoja kwenye moyo wake, atampenda mtu mmoja tu na mwingine atakua hana hisia nae, tofauti na wanaume, so kwasababu hatunaga muda wa kufatilia then inakua ngumu kujua
 
Mwanamke akicheat na mtu anayemuelewa utajua tu, hawawezificha hisia zao hawa, na mwanamke akicheat kaamua kwelikweli sio bahati mbaya ..thus itaendana na mabadiriko ya tabia
Hao ni wanawake wa kizazi kipi unawazungumzia?

Ndugu yangu niamini mimi. Mwanamke wa sasa anachepuka USO MKAVU na anarudi nyumbani kwa mumewe kama vile hakuna kilichotokea na hakuna hisia yoyote anayoonyesha!

Mwanamke wa sasa ana uwezo hata wa kutembea na BABA YAKO mzazi, kaka yako, ndugu zako n.k na usijue chochote anajikausha na huduma zote nyumbani anatoa kama kawaida.

Hao wanawake unaowazungumzia ambao hawawezi kuficha hisia ni kizazi kilichopita sio hiki cha sasa.
 
Duuh! Aisee! Dunia imechangamka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…