
Halafu nasikiaga wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa
Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.
![]()
![]()
![]()
![]()
eti kwa bbHahahaa. Ndio huko huko best.![]()
![]()
eti kwa bb
Haha kwa bibi rahaHahahaa. Ndio huko huko best.
CCM nyie mnawabagua watu kutokana Na maeneo yao ya asili. Hujawatendea haki wanawake wa KilimanjaroWanawake wa kutoka KLM ni walevi balaaa, ...





Bibi mzaa Baba au mzaa Mama!? Nauliza tu Emmy 


Halafu nasikiaga eti baadhi yao wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa
Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.
![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba nikutoe out unywe bia






Nasubiri jibu ujue LOL!Duuh! Mie situmiagi hiyo kitu aiseee.Naomba nikutoe out unywe bia
Tatizo lako ushabiki! Sisi wachagga kunywa pombe sunnaCCM nyie mnawabagua watu kutokana Na maeneo yao ya asili. Hujawatendea haki wanawake wa Kilimanjaro