Wanawake ni viumbe wa kuheshimiwa

Wanawake ni viumbe wa kuheshimiwa

Namba 1 mpaka 5 ni sehemu ya maumbile na ndio ukamilifu wa mwanamke asipokua na hayo atakua hajakamilika kama mwanamke

Hayo mengine ni ada ya mwanamke kuonekana ni majukumu yake lkn ni majukumu ya mwanaume mwanamke kufanya ni hisani tu.

Kwa jumla wanawake wanahitaji heshima kubwa kutoka kwa jamii
 
Ni wanawake wachache sana wa sasa wanaofanya hayo yote......
 
Kweli kabisa mkuu!!...Nyongeza:Mwanamke ana jukumu la kupiga magoti ili anyonye dushe!
 
Siku zote nampa Heshima zote mke wangu sanaaaaaa,
Wanawake ni watu wa pekeee sana japo wako wachache ndio wanaharibu heshima ya wanawake,
 
sawa tuwaheshimu, ika hiyo ni nature na part ya majukumu yanayofanya aonekane ni mwanamke hakuna cha ajabu sana.
Salute kwa wanaume wote wanaujua majukumu yako maana sisi ndio mwisho wa matatizo yote kuanzia ya watoto mpaka ya mwanamke, jambo likimshinda mwanaume basi wa kulitatua ni Mungu tu.
Na pia salute kwa wanaume wote wanaowaheshimu wanawake.
 
Mkuu,ongezea na hii 'mwanamke unampa shahawa/mbegu za kiume/kamasi/wazungu/matrafiki/weupe lkn,yeye anakupa mtoto hilo ni jambo kubwa sana!
 
Robo tatu ya misalaba yetu wamebeba wanawake
Acha matani , karibu robo tatu ya shughuli anazofanya mwanamke mwanaume amezingaikia. Bila kujenga nyumba mama atafanya usafi wapi, bila kuleta chakula na nguo na kumpa mama mimba angepata wapi hao unaowaita watoto? Jamani tuache dharau kama hizo wote tuna majukumu .
 
'Mwanamke akiamka asubuhi atafanya usafi wa nyumba, atafanya usafi wa nje, ataandaa maji ya kuoga mumewe, ataandaa kifungua kinywa cha mumewe, ataandaa nguo za mumewe, atafua nguo za mumewe, atandaa chakula cha mchana kama mumewe anarudi kula, ataandaa chakula cha usiku. Hapo bado wale wanaoenda na kazini kwaajili ya kuipiga tafu familia.' haya ni wanawake wachache sana wanaofanya kazi wanaweza kuyafanya...
Katika wanawake 10 ni 3 ndio wanaweza kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom