alikuwa anamuamini sana mkewe! alienda kupima baada ya kukorofihana na mke kuongea kuwa "watoto sio wako" mbaya zaidi watoto walikuwa wanaoneshwa baba yao halisi then wanaambiwa wasimuambie baba anayewalea[ baba aliyesingiziwa!]
Ukimwacha jiandae kuongezewa mwingine sijui ndo utampima polygraph kila baada ya kukupata taarifa ya ujauzito? Maana DNA inachelewesha maswala.
Ila tuseme tu ukiona umeoa na bado mkeo anachapwa nje, jichunguze kunatatizo tena kubwa sana, maana kwa uzoefu wangu KE ni waaminifu zaidi na waoga wa kuchapwa nao nje ndoa.
WAPI NITAPIMA DNA BILA MASWALI MENGI WALA TATIZO NANI KIASI GANI NINAMASHAKA sana!
Sawa mkuu kumbe inauma .. sisi.tunavyolea wa kwenu mnaona ni tamu kwetu kwenu chungu....... akome
Dont underestimate the power of a woman,,,,,,,
Wanawake tunaweza.
Unaweza kulea mtoto wa mwanaume ukiwa unajua kabisa alizaa na mwanamke mwingine, lakini ni tofauti unapopigwa changa la macho kwa kuambiwa mimba ni yako tangu mwanzo halafu mkikorofishana ndio unaambiwa mtoto sio wako! Huoni huo ni ushetani?!!
Sawa mkuu kumbe inauma .. sisi.tunavyolea wa kwenu mnaona ni tamu kwetu kwenu chungu....... akome
Mimi naona ni ushwatwain lakini sasa tuvumiliane tu
Ninyi mnalea huku mkijua kuna tofauti kubwa hapo. Kinachouma sio kulea ni kudanganywa for good nine years!!!Sawa mkuu kumbe inauma .. sisi.tunavyolea wa kwenu mnaona ni tamu kwetu kwenu chungu....... akome
Sasa wewe ukapanue paja huko halafu uniletee mimi nilee, kirahisi rahisi tu??!! Hiyo inakuwa ngumu sana aisee.Men are selfish ukijua ukweli unamtimua hata bila kujali
Leo nimekusoma vizuri sana. Utakuwa una maumivu makali sana moyoni mwako. Alaaniwe mwanaume aliyekupa maumivu ambayo naona unashindwa kuyasahau kabisa, sitaki kukumbusha ila kama hutajali huyu jamaa alikubaka au alifanya nini hasa??Hayalingani ila mkome napenda kuona mwanaume anaumia raha sana
She must be having a bad experience or something with men.why u so bitter...?!!!
Sasa na wewe Kaunga unashabikia huu upuuzi ili iweje. Men are polygamous in nature inabidi mkubali hili and they do not tolerate sharing whatsoever ndiyo maana inauma sana inapotokea kama hivi. By the way mwanamke akiingia kwenye 18 zangu na staili kama hii anaweza kujikuta kichwa na kiwiliwili ni vitu viwili tofauti.Wajiwowe mara mbili? Maana juzi tu walikuwa wanagombea haki za kujiwowa.
Yaani wanaboa sana wanavyojisifia infidelity, sisi tunawapa ya chini chini yanaouma zaidi.
Mambo yako lkn?
Dont underestimate the power of a woman,,,,,,,
Wanawake tunaweza.
Mnaweza ushetani au?!! What are you tryin to say?!
ndiyo mnaweza, lakini katika hii mada ameweza kutapeli.