aisifiaye mvua ujue imemnyea...pole sana mkuu
Men are selfish ukijua ukweli unamtimua hata bila kujali
nadhani kitu cha kibinafsi kabisa ni mwanamke kumnyia haki mtoto kumjua baba yake wa kweli ni yupi.
Si mnajisifia na michepuko aka nyumba ndogo zenu. As if hiyo michepuko haina wanaume. Women hawajisifii but they know where it hurts the most.
Imagine ugomvi wa kupelekea kumwambia mwanaume hivyo, ina maana kulikuwa na maudhi yaliyopelekea chuki ya hali ya juu ndio maana hakujali kama ukweli huo utamuumiza au vipi.
Upendo wenu wa kwanza uko wapi? Ishini kwa upendo muone kama hayo yatatokea.
Punguzeni viepe,mnazalisha mbegu hazifiki hata kwenye fallopian tube!!!mnategemea kupata watoto?
Teh teh teh....pole wee!
ukikuta wanasapotiana hapa hutaweza kudhani wakifanyiwa wao huwa inawakwangua namna hii!
sasa wajiwowe tu yesheeee!