Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,020
- 41,396
Juzi nili msaidia mtu kiasi Fulani cha pesa .Umaskini ni adui wa maisha ila nature lazima ichukue nafasi yake kumbuka
ni kweli mkuu, kiben 10 Hana tofauti na mchepuko.Kaka ukiwa kibent wa mwanamke yeyote anakulia timing tu ,ukiingia kwenye mfumo utaelewa
AhahahaHabari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Sijaoa? bado mmoja nikamilishe wanne, ukweli mchungu mnaishi na vituko ndani na sio mke.Kaka kama hujaoa kaka tafakari mara mbili ,nasema ukweli ,kwenye uchumba ni malaika hata wanaweza kukaa miaka miaka mitano kimya sasa weka ndani ndio utajua ndoa ni ndoano,wanje ni nje na wandani ni ndani
Aisee mwili mmoja ananitoa nishai daahYaani umeiba halafu unamshangaa ulomuibia kudai haki yake!!!!
🚮🚮🚮🚮
Sawa mzee baba,ila mwili mmoja nimeshangaa tu reactionDogo ni ujinga kuchukua kitu ndani ya nyumba bila taarifa lakini ugomvi aliokuletea sababu ni kwamba hana uhakika akikuomba 2000 au 5000 utatoa.
Nauliza ni mkewangu tu au wanawake karibia wote wanahizi tabia?Juzi nili msaidia mtu kiasi Fulani cha pesa .
Alikua afedheheke mbele ya umatii nilikua mitungi kiasi Mimi si nikasahau jamaa Jana ananikumbushaa.. akashukuru. Sanaa mpaka nikashangaa
Nikakumbuka wengine wanapesa kwenda ulaya au American ni kama wewe na Mimi izii buku mbili mbili zetu..
Ukiona mke ana lalamikia ELFU MBILI 🥺 ni majanga zaidii ya snura MUSHII
Dizaini T. kama sio T, Acha kupekua mikoba ya wamama. la mwisho japo si kwa umuhimu, jitahidi kuja vikaoni.Habari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
kama unaweza kupata maziwa usifunge ng'ombeUkipata nafasi ya kuwa single usiichezee
kafikilia ujinga ndo maana kaja na reaction hiyoNauliza ni mkewangu tu au wanawake karibia wote wanahizi tabia?
Mwili mmoja ila reaction yake hatari sanaUmekwapua pesa yake mkuu 😂😂😂
Sawa KiongoziDizaini T. kama sio T, Acha kupekua mikoba ya wamama. la mwisho japo si kwa umuhimu, jitahidi kuja vikaoni.