Wanawake ni kama mawimbi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ni kama mawimbi!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Mwanamke akijisikia vizuri basi furaha yake humpeleka kuwa juu sana (peak) na mood ikibadilika basi hali yake hubadilika ghafla na kuvunjika hadi chini kabisa kama mawimbi, wakati huohuo akiwa chini (low) sana kihisia anaweza kubadilika mood tena na kuanza kupanda juu kama mawimbi.

  Wakati akiwa juu kileleni katika hisia zake basi hujisikia vizuri hata hutoa upendo wake kwa wengine na pia kitendo cha kuwa chini sana husababisha upweke ndani yake na hapo ndipo anahitaji mwanaume au mtu yeyote ambaye anaonesha caring na kumsikiliza.
  Anaokuwa chini kihisia basi love tank yake emotionally huhitaji kujazwa!

  Je, dada zetu na mama zetu huwa mnajisikia kupanda na kushuka kwa mood kama mawimbi?
  Tujadili!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mood swings... ni moja ya ki element cha definition ya mwanamke... Tofauti ni frequency... Mwingine mara moja kwa week/mwezi/mwaka/ whereas mwingine kila siku...
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Umeooonaaaaa mengine siri ya kakaetu!!!!!!!!
   
 4. m

  muhanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  tujadili nini tena wakati umeshatusemea kila kitu unachokijua wewe? sana sana ukisikia mwanamke yuko chini kihisia mlift kwa kujaza love tank yake
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hapa wanwake wasijeata sababu za mood ssings zao.....hamna lolote ni wee mwenyewe unavhochukulia mambo.....ata wanaume naowanaweza kuwa na mood swings kama jamaa ni mtuu asiyeweza kucontrol hisia zake!!!!!
   
Loading...