babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,309
Ashukuriwe Mungu muumba.
Eti ukitaka kujua uimara wa mwanamke kwenye nyumba ni pale UCHUMI UTAKAPOYUMBA kunako nyumba. Wababa wengi eti wakati huu wa mdororo wa uchumi wa Familia tunakuwa wadogo kama piriton. Wanawake watahakikisha wanapambana mpaka familia ipate japo mlo mmoja kwa cku. Kwa mantiki hiyo wanawake ni wapambanaji wakati wote. Sijui wadau mnalionaje hilo jambo.