Wanawake ni hatari sana

Wanawake ni hatari sana

Joto la wanaume likoje? Kama jibu ni hujawahi kukumbatia dume lenzako huwezi kusema wanawake wana joto kali. Hii ni thread kudhihirisha unawaza mambo mengine ukiwa unabeba watoto mpaka wazee kwenye piki piki. 36-37 Celsius ni kila binadamu, si wanawake tu. Angalie usigonge watu unawaza jotooo
Bora akigonga ataanguka na kuchubuka tu, mwache asikilizie utamu wa joto la wanawake ajisahau ajilengeshe kwenye lingao la Land cruiser mkonga kama nitamuachia huyo...
 
Wanawake ni hatari sana maana wana joto kali sana kuliko wanaume kiasi kwamba hata kama mvua imenyesha ni rahisi sana mwanamke kumuondolea mwanaume joto wakilala pamoja kwa kukumbatiana hata kama hawafanyi tendo. Mwanamke hata kama umembeba kwenye pikipiki akiwa amekaa kiume yaani joto lake utalisikia tu. Mimi nimewahi kubeba wanawake mbalimbali wadogo kwa wakubwa ni joto mtindo mmoja. Nimekuja kushangaa leo nilipombeba mwanamke mzee akiwa amekaa kiume kuona ana joto kali sana nikaamini kuwa mbele ya joto hamna cha mzee kwa upande wa mwanamke. Sijui hili naliona mimi mwenyewe ama na wenzangu mnaliona hili? Naomba mawazo yenu tafadhali.
Kinachotokea hapo wala si wanawake kuwa na joto kali kuzidi wewe, ila ni mwili wako tu unakuwa wa baridi sana kutokana na kupigwa na upepo mkali.

Ndiyo maana inashauriwa waendesha boda boda wote kama wewe wavae nguo nzito au weka kizuizi kizito sehemu ya kifua kulinda temperature ya mapafu isishuke chini.
 
Binadamu wote duniani joto la mwili ni constant (Homeothermic) bila kujali kama anaishi kwenye frigid au torrid zones, ungesema ulibeba ndege - mfano: Kuku, Bata nk hapo ningekuelewa kwani joto la mwili la viumbe hao ni nyuzi 42 C.
 
Duh kweli hii ni jf...never get bored....
 
Back
Top Bottom