Wanawake ni hatari sana

Wanawake ni hatari sana

Wanawake ni hatari sana maana wana joto kali sana kuliko wanaume kiasi kwamba hata kama mvua imenyesha ni rahisi sana mwanamke kumuondolea mwanaume joto wakilala pamoja kwa kukumbatiana hata kama hawafanyi tendo. Mwanamke hata kama umembeba kwenye pikipiki akiwa amekaa kiume yaani joto lake utalisikia tu. Mimi nimewahi kubeba wanawake mbalimbali wadogo kwa wakubwa ni joto mtindo mmoja. Nimekuja kushangaa leo nilipombeba mwanamke mzee akiwa amekaa kiume kuona ana joto kali sana nikaamini kuwa mbele ya joto hamna cha mzee kwa upande wa mwanamke. Sijui hili naliona mimi mwenyewe ama na wenzangu mnaliona hili? Naomba mawazo yenu tafadhali.

Kumbe ndo mana mnafukuzwa kuingia city center.
 
Headline yako na maelezo vitu tofauti!
 
Yani nna kiu, koo limekauka, hela sina.... natamani castle lite ya baridiiii
mwenye buku ten naomba anikopeshe!!!

Wengine tukiPM hatujibiwi...ila inauma!!!
NiPM namba yako nikutumie hata ka laki(****).Umalizie weekend kwa Amani my dear to be Oppsss...sory nimekosea nilitaka kusema evelyn salt.
 
Pm kutokijibiwa ujue kuna kitu
hata Vin Diesel anajua lol....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom