Wanawake ni hatari sana

Wanawake ni hatari sana

Joto la wanawake ni nomaa lakini ukimpata wa baridi napo ni balaa sana then wengine ukifanya nao tendo huwezi rudia tena.
 
Kumbe ndo mana jana yule mwendesha bodaboda alikuwa ananiambia eti 'sogea kwangu nishike kwanguvu' namimi nilivyomuoga kumbe alikuwa anaskia majotroo!!
 
Na mi naomba lifti kwenye bodaboda nikupe joto kali sana...!
 
Kwa hiyo wanawake ni source of high temperature?
 
Acha kudharau mada za watu kama huna la kuchangia bora ukae kimya sio kuongea utumbo.

Ungepungukiwa damu ningekuongezea ila Kwa upungufu wa akili nakuonea huruma-source humu humu jamvini,outstanding foolishness cannot be cured unless you decide that you now want the cure&start learning to appreciate that you can be cured
 
Back
Top Bottom